Recent content by HAONI

  1. H

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Njombe mjini amefariki dunia ghafla

    Poleni sana watu wa Njombe- Bwana alitoa bwana ametwaa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumweleza ukweli

    Wife alipokuwa mjamzito aliniomba tukapime VVU. Nilimchenga chenga kidogo lakini hatimaye niliamua kwenda nje ya mji kupima peke yangu kabla sijaambatana nae. Baada ya counseling ya docta alinielekeza chumba cha kupimia. Nilipoingia ndani nilikutana na mtu wa vipimo ambaye ni rafiki na mke wangu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Lies Men Tell Before Sex

    Siku hizi hakuna porojo na bla bla - straight to the point...... anty nimekumind inawezekana twende kama haiwezekani basi chukua time..... Hakuna muda wa kupoteza wamejaa hapo kona baa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mbuge wa CHADEMA Ilemela, awafanyia usanii wapiga kura wake kwenye gari la wagonjwa

    [QUOTE=Mkitupa nchi, tutawapa katiba mpya katika siku 90 za kuingia IKULU; - Dr W. Slaa Napita tu, nitarudi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Jaji Mkuu akamatwa kwa rushwa

    Kwa Tz ni vigumu rushwa kubwa za aina hiyo kukamatwa - watendaji wakuu vyombo vya dola wamekuwa wakihusishwa katika migao hiyo. Virushwa vidogo dogo vinavyowahusisha walala hoi ndio vimekuwa vikifuatiliwa na kuripotiwa- Rushwa kubwa zinazoyumbisha uchumi wa nchi zinalindwa kwa nguvu zote.
  6. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kada wa CHADEMA bi. Mwacheni Kinongo afariki dunia

    Makamanda poleni sana kwa msiba. Tupo pamoja
  7. H

    JamiiForums Tanzania Shahidi: Lema alimkashifu Dk. Buriani jukwaani

    Huyu Musa Mkanga ni kada wa CCM - alishawahi kuwa Diwani kata ya Sombetini - Arusha akapata kashfa ya kuuza kiwanja cha Kilombero Sokoni kwa waarabu fulani yeye pamoja na wenzake wa CCM. Hiyo kashfa ilipelekea kufukuzwa CCM. Baadae nilisikia alirudishwa kundini. He is very ambitious on money...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Aliyesema hivyo bungeni ni DAVID KAFULILA na sio GODBLESS LEMA

    Tuache porojo na utoto kwenye hii blog - unapotoa mada come up with evidences to support it. Otherwise ni kupoteza muda!
Back
Top Bottom