Recent content by hannibali

  1. hannibali

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boom
  2. hannibali

    JamiiForums Tanzania Mliopo Mafinga tupeane michongo ya kazi za viwandani

    Wewe upo wapi
  3. hannibali

    JamiiForums Tanzania Saa nane hii uwanja mweupeee

    Kama hakuna ushahidi basi tulizeni kipira
  4. hannibali

    JamiiForums Tanzania Saa nane hii uwanja mweupeee

    Lete ushahidi wa tiketi kuuzwa zote hapa
  5. hannibali

    JamiiForums Tanzania Saa nane hii uwanja mweupeee

    Kitulize usubirie mnavyodhalilika leo
  6. hannibali

    JamiiForums Tanzania Saa nane hii uwanja mweupeee

    Kwa muda kama huu siku ya wananchi ilikuwa hivi
  7. hannibali

    JamiiForums Tanzania Saa nane hii uwanja mweupeee

    Zimeuzwa zote ushahidi uko wapi?
  8. hannibali

    JamiiForums Tanzania Saa nane hii uwanja mweupeee

    Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema. Aya ngoja tuone muda ndo mwamuzi watakavozalilika watu na bonanza lao
  9. hannibali

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabeba ujauzito wangu lakini hataki nijihusishe kabisa na yeye

    Huyu manzi tunafanya naye kazi kampuni moja hapa mjini, nina mahusiano naye huu mwezi wa 5. sasa cha kustaajabisha ana mimba yangu ya miezi miwili ila anasema hataki nijihusishe na mimba yake kwani mtoto atamlea mwenyewe.# Nimejaribu kumwambia anieleze ukweli kuhusu hii mimba ameniambia ni...
  10. hannibali

    JamiiForums Tanzania Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Kabisa kaka
  11. hannibali

    JamiiForums Tanzania Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Hawawezi kuwa wote wenye dharau so usikomfimu kwa wote
  12. hannibali

    JamiiForums Tanzania Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Hapana haiwezi kubalika
  13. hannibali

    JamiiForums Tanzania Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Pole sana
  14. hannibali

    JamiiForums Tanzania Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Utakataza mtu asiende kuzika?
  15. hannibali

    JamiiForums Tanzania Diaspora amekufa wengine wanachekelea, kwanini?

    Hata kwa aliyefariki?
Back
Top Bottom