Recent content by Hank_31

  1. Hank_31

    Tuwe wakweli: Kwa Tanzania, ni vigumu kupata mkoa uliobarikiwa kama Mbeya

    Mbeya sawa imebarikiwa, lakini pia watu wa mbeya hasa Wanyakyusa wanapiga pr kubwa sana kuhusiana na mkoa wao. Ukiangalia vitu hivyo vyote jumlisha na hali ya hewa ni sawa kabisa na mkoa wa kagera.
  2. Hank_31

    Askofu Rweyongeza: Kanisani si mahali pakufanya siasa

    Kanisa linatakiwa kua halijafungamana na upande wowote. Linatakiwa kukema pale ambapo hapako sawa na linatakiwa litoe pongezi pale panapostahili. Ila kwa tulipofikia sasa baadhi ya makanisa yamechagua upande wa kupongeza tu na kisahau upande wa kukemea na kushauri pale mambo yanapo kwenda...
  3. Hank_31

    Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

    Wengi wameshaolewa ila wameachika. Kuachika ni kwa Sababu ya vitu vingi vingine ni wanavijua wao na wenzi wao wa zamani. lakini mambo makubwa yanayosababiaha kaachana kwao ni pamoja na wao kusahau majukumu yao kama wake, na pia kujikweza mbele ya waume zao.
  4. Hank_31

    Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

    Duuu! Kulombana ni Sanaa masta unaweza mfikisha mwanamke kunako kwa maneno na miguso ya hapa na pale. Kwa kusema hayo naomba ujifinze Sanaa hiyo kwanza kipindi unatafuta sulihisho la tatizo lako mama. Kuhusu kuwahi kufika mshindo: Jambo hili hisababishwa na vitu viwili vikibwa ambavyo ni...
  5. Hank_31

    Mambo gani ya kuzingatia wakati wa kununua gari?

    Siku zote hua Kuna mambo makuu matatu ya kuzingatia kama yafuatayo:- 1: Sababu ya kununua gari/gari kwa ajili ya nini? Hapa lazima uangalie na uzingatie ni kwanini unataka kununua gari, inaweza kua ni kwa ajili ya kutembelea, kubebea mizigo na kadhalika. 2: Bajeti yako, hapa ni lazima...
  6. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    Leo humu kwa baridi sana!
  7. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    😎
  8. Hank_31

    24 Hours of Le Mans: Shindano la Magari linalodumu kwa Masaa 24!

    Unyama utakua ni mwingi sana mkuu, ngoja tuone itakavyokua. Kama huto jali ukipata muda Shusha uzi wa Rally ni moja kati ya kitu tamu sana katika mashindano ya magari. Pia mtu anaweza kwenda shuhudia live hapo kenya kila mwaka.
  9. Hank_31

    24 Hours of Le Mans: Shindano la Magari linalodumu kwa Masaa 24!

    Aaah, mkuu umeshusha vitu vitamu sana, kiufupi hii race hua ni balaa na hizo hyper cars na classes nyingine wamezio geza ili kuzidi kunogesha mashindano but original yalikua ni Gt tu. Humu kulikua na unyama wa kila aina na fauls za kutosha. Kwa mtu wa movies pia fuatilia movie inaitwa Ford vs...
  10. Hank_31

    Hawa Age imeenda ndio nawataka mbona siwaoni mimi, munawapataga wapi

    Maokoto yanatafutwa, ila tusisahau kuishi mkuu.
  11. Hank_31

    Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Mwisho wa wasimbe hua ni kifo kibaya sana.
  12. Hank_31

    Mlio kwenye ndoa: Hivi kuna ratiba ya kupeana unyumba?

    Ratiba?, aseeh! Hua hakuna kitu kama hichi na hata ikipangwa hua inavurugika maana kuna siku kwa ratiba inasema hakuna ila wote ndio mnatakana, kifupi ratiba hua hakuna. Kama mchangiaji mmoja hapa alivyosema kwenye ndoa sex sio issue kabisa tofauti na mkiwa bado hamjaoana.
  13. Hank_31

    Njaa isikufanye kula chochote unachokiona mezani

    Ndoige za namna hii hua ni hatari sana!
  14. Hank_31

    JamiiForums Usiku wa manane

    01:04
  15. Hank_31

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha, yule malaya hatari sana watu tulipenda na kunogewa na mauno feni yake tukasahau condom.
Back
Top Bottom