Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,365
- 154,647
Ukitaka kula kila kitu, utakula mpaka sumu.Usiwe na maamuzi ya pupa kisa njaa unakula chochote unachokiona mezani hata kama hakifai.
Wapo watu wanaangukia katika mahusiano na mtu asiyesahihi au asiye chaguo lake toka moyoni kisa kujiona amechelewa / msukumo wa upweke akiona jamaa zake / au mashosti wake wote wameoa au kuolewa basi hatokuwa na subra , yeyote atakayepita mbele yake anapitanaye.
Zingatia "maswali magumu hayahitaji majibu mepesi " utakuja kunikumbuka