huyu jamaa alivyo tu huwezi kumwelewa je maandishi yake utayaelewa...huyu jamaa ndio anayehamasisha walimu kujitolea bure bila malipo anajiita mzalendo wanaosoma duce wanamjua alivyo kwahyo msihangaike sanaaa kuelewa alicho kiandika
Chadema wamesusia vitu vingi lakini hakuna hata kimoja kilichofanikiwa,kazi ya chama cha siasa ni kuleta Sera mbadala,sasa kama upinzani hamshiriki uchaguzi na kazi kubwa ya chama cha siasa ni kushika dola utashikaje dola bila kushiriki uchaguzi???? Zenji walisusia maccm yakapita kiulani
Issue sio rushwa wanajua waliompitisha mgombea yeyote wa upinzani akisimama watashindwa maana Gulamali haijui singida na wananchi wa singida kaskazini hawatampa kura pia yule mgombea mwingine aliyeambiwa haruhusiwi kugombea tena ambae ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya singida vijijini...
Kuna movement gani ya kudai tume huru??.unavyosema tusishiriki unatuumiza sana sisi ambao uchaguzi unatuhusu...ccm wamepitisha mhindi sijui katokea mombay etiii akapite jimbo la singida kaskazini bila kupigwaa
Kuna movement gani ambayo ipo ya kudai tume huru???kusema etii tukae meza moja na washika mapanga ili tupate tume huru????hicho kitu hakipo hawezi kufanya kitu kama hicho kama bungeni yameshindikana kukaa meza moja na ccm hiyooo n ndoto ya mchana yatakuwa kama yale ya maalim seif...unasusia...
Upinzani unapoacha kushiriki uchaguzi haina maana ya kuwepo upinzani,hiyoo tume huru utaidaia wap??wakati bungeni mnatolewa,mikutano ya kisiasa marufuku,mahakamani huwezi kwenda kushindaa kesi..upinzani mkisusa wenzenu wanapita bila kupigwa na 2020,ndio hawahawa watasimamia uchaguzi inamaana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.