Hivi ajira za walimu wametangaza?

joboychali

Senior Member
Feb 3, 2017
169
85
Habri ya jioni wana JF. Mimi ni mwalimu wa science naomba kujuzwa juu ya ajira za walimu maana nimechoka na matamko ya hawa mawaziri wasio na watoto wenye dhiki kama watoto wa wakulima.

Nawasilisha
 
kwa hiyo muda wote huo ulikaa unasubiri ajira za serikali. ajira hakuna tafuta shughuli ya kufanya.
 
Wametangaza demotion I.e kihamisha waalimu toka sekondari kwenda msingi. Very amazing!!!
 
Nimelima mahindi nasubiria tu kuivisha.. But naona kama sitendei haki professional yangu
kama ni hivyo kwa nini hukutafuta shule za binafsi? kuna kufundisha hata tuition na kuitumia taaluma yako ipasavyo sidhani kama kuwa mwalimu taaluma hutumika kwenye mashule ya serikali pekee.
 
Back
Top Bottom