Recent content by Handsome Boy 2014

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

    Tumia muda mwingi kumshauri Bwana Yule, Au huoni mambo yanaenda mrama.?
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanakuwa na akili kuliko kawaida, muda wa kutoa

    #Wanaume wanakuwa na akili kuliko kawaida muda wa kuoa. - Maisha ni Kitu cha ajabu sana, kuna wanawake wanawakataa wanaume kwa sababu leo hawana hela, wanawakataa na kuwanyanyasa wanaume eti sababu hawaendeshi magari, hawana uwezo wa kuwanunulia simu kali wanasema "kupenda mwanaume asiye na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Tigo Pesa, Vocha, Vifaa vya simu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kitakachomshawishi Mtanzania kuipa CCM kura 2020?

    Nikipewa buku Saba, mm naweka tick tu.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zitto kutoa Tamko zito juu ya mustakabali wa Chama.

    Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo anatarajia kutoa tamko juu ya hali ya chama na kile kinachoendelea katika Chama hicho.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto Kabwe ni hazina kwa Taifa hili

    Nimekumbuka maneno ya mwalimu Nyerere kuwa siasa ni mchezo mchafu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Warioba: Hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuongoza nchi

    ...kwa mtazamo wake yuko sahihi.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Enyi wenye nchi ni nani aliyewaloga?
  9. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanasoka wa zamani Zuberi Magoha afariki dunia

    R.i.p.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mambo mengi ninayo yawaza au kuyaota huwa yanatokea kweli tangu Nina mika 12 na sasa Nina mika 18.

    Hakika Mungu ameweka kitu ndani yako...simama katika kumtukuza yeye utazidi kufunuliwa mambo mengi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Mh alaaniwe, huwezi kuchinja binadamu wenzako kama kuku.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ni Forum ipi inaongoza kwa kuwa na wachangiaji wengi!

    Haka ka utafiti bhana...!!!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Jeshi yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege Mwanza, rubani anusurika!

    Mh wee acha masihara,yaani apambane na moto.!!!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ukipiga picha ya Uchi, unastahili kusitiriwa?!

    Mahusiano yenyewe ndiyo haya ya zima moto,siku mambo yakilipuka mpaka zima moto wafike ushaadhirika.Hivi kama kweli mtu anakupenda kwanini umrushie au akupige picha za uchi, hapo kuna upendo kweli?
Back
Top Bottom