Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

Tuna tunajadili kwanini CHADEMA wanaendekeza ukaskazini hata kwenye mikoa mingine wewe bado unakuja na maswali ya kutaka kujua watu wametoka wapi? So what?
Tata cyo kwa nia mbya kumjua...wala cna ubaya naye...make hoja zake huwa zibanikuna sometimes kwa hiyo huwa saa zngne na mu admire kma braza Francis12.
 
Yalianza malalamiko Mkoa wa Ruvuma kuwa CHADEMA wameteua mbunge wa viti maalum ambaye si mwenyeji wa Mkoa huo. Wanawake wa BAWACHA wakaandamana kupinga ukandamizaji huo wa CHADEMA. Hawakusikilizwa.

Zikaja taarifa za Frederick Sumaye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Hili lilijadiliwa kimya kimya wengi wakiwa na mtazamo kuwa Sumaye kajidhalilisha kugombea nafasi hiyo. Hapa suala la Ukaskazini kusimikwa Pwani halikujadiliwa.

Sasa limekuja hili la Patrick Ole Sosopi kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Ziwa Nyasa. Hili limeanza kupigiwa kelele. Baadhi ya wana CHADEMA hasa kwenye magroup ya facebook wameanza kupaza sauti kuwa kinachofanywa na CHADEMA Makao Makuu 'kuimport' watu wa Kaskazini kugombea uongozi kwenye kanda zingine hakika halikubaliki. Ikumbukwe kuwa karibu safu yote ya Wakurugenzi wa CHADEMA Makao Makuu wanatoka Kanda ya Kaskazini. Sasa kanda zingine wameanza kuwapangia nani awaongoze kitu ambacho si sahihi.

Swali la kujiuliza, je ni kweli CHADEMA hawana watu sahihi wa kuongoza chama kwenye kanda tofauti na wale wanaotoka Kaskazini? Au kuna nini nyuma ya pazia?
Mimi kama mfuasi wa chadema kutoka ruvuma hili swala limenifanya nianze kuchukia hawa wachaga kwa ubaguzi.. Kumbe bora hatukushinda hawa jamaa si wenzetu kabisa.
 
Yalianza malalamiko Mkoa wa Ruvuma kuwa CHADEMA wameteua mbunge wa viti maalum ambaye si mwenyeji wa Mkoa huo. Wanawake wa BAWACHA wakaandamana kupinga ukandamizaji huo wa CHADEMA. Hawakusikilizwa.

Zikaja taarifa za Frederick Sumaye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Hili lilijadiliwa kimya kimya wengi wakiwa na mtazamo kuwa Sumaye kajidhalilisha kugombea nafasi hiyo. Hapa suala la Ukaskazini kusimikwa Pwani halikujadiliwa.

Sasa limekuja hili la Patrick Ole Sosopi kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Ziwa Nyasa. Hili limeanza kupigiwa kelele. Baadhi ya wana CHADEMA hasa kwenye magroup ya facebook wameanza kupaza sauti kuwa kinachofanywa na CHADEMA Makao Makuu 'kuimport' watu wa Kaskazini kugombea uongozi kwenye kanda zingine hakika halikubaliki. Ikumbukwe kuwa karibu safu yote ya Wakurugenzi wa CHADEMA Makao Makuu wanatoka Kanda ya Kaskazini. Sasa kanda zingine wameanza kuwapangia nani awaongoze kitu ambacho si sahihi.

Swali la kujiuliza, je ni kweli CHADEMA hawana watu sahihi wa kuongoza chama kwenye kanda tofauti na wale wanaotoka Kaskazini? Au kuna nini nyuma ya pazia?

Sijui kwa ubaguzi huu nchi yetu inakwenda wapi? Nasikia mwingine yeye kila akiteua anateu wakristo kwenye teuzi za na ndio walio wengi.
 
Hii nchi si ya WASUKUMA ni ya watz wote tusibaguane kisa ni wa kabila lake
Mkuki kwa nguruwe siyo. Kwa sababu leo wachagga wametumbuliwa basi imekuwa nongwa siyo? Na bado lazima wasafishwe wote wametunyonya sana. Hary Kitilya, Ludovick Utho, Bazil Mramba, Grey Mgonja....... Acha na nyie mpumzike bwana kwani wapi imeandikwa kuwa lazima Wachagaa na wana wa kaskazini ndiyo washike nyadhifa nyeti?
 
Hapa hakuna aliyezungumzia udini. Mjadala hapa ni Ukanda
Msije kua hataa mikopo kwa wanafunzi mmetoa kikabila nyie maana.ukabila haufai ndugu,endeleeni kuupanda tu,nchi yetu sote si ya wasukuma tu tumemchagua sote
 
Wachagga wengi wamepata mikopo. Nenda kaulize utaambiwa ukweli
 
kama wanagombea na kuchaguliwa kidemokrasia sioni tatizo lolote kwani wote ni watz
Kweli mshipa wa aibu hamnaga. Wana wa kaskazini kutoka RUVUMA mpka Kilimanjaro? Chama cha siasa au chama cha Wachagga?
 
Mkuki kwa nguruwe siyo. Kwa sababu leo wachagga wametumbuliwa basi imekuwa nongwa siyo? Na bado lazima wasafishwe wote wametunyonya sana. Hary Kitilya, Ludovick Utho, Bazil Mramba, Grey Mgonja....... Acha na nyie mpumzike bwana kwani wapi imeandikwa kuwa lazima Wachagaa na wana wa kaskazini ndiyo washike nyadhifa nyeti?
Usishabikie ukabila ndugu haufai
 
Samahani mkuu Lizaboni ivi wewe huwa unatoka kanda gni?...cyo kwa nia mbaya mkuu.
Mkuu, Songea ndo Home. Kwa hiyo utajua ipo kanda ipi. Kiserikali tupo Nyanda za Juu Kusini. Ila sijajua kwa hawa vidole viwili wametuweka kanda gani. Sijui ndo Kanda ya Nyasa!
 
Ahsante mkuu...hpo nimekukkubali...tuko pamoja
 
Back
Top Bottom