Recent content by hancepeter

  1. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Utoto ni bustan ya Eden Ujana ni duniani Uzee ni mbinguni Umasikini Ni motoni Utajiri Ni peponi
  2. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Dismas na Gestas, wahalifu waliosulubiwa pamoja na Yesu pale Msalabani

    B est I nstruction B efore L iving E arth Ukiweza kutafsiri kwa Kiswahili utaelewa maana ya biblia
  3. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Asante kwa kutujuza
  4. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Chifu mkuu wa Wachagga ni Marealle au Kileo?

    Mkwawa alikuwa mbumbu Mareale alikuwa mjanja mjanja Ndo mana kipindi wahehe wanakula mbwa Wachaga wanakula ndafu
  5. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Ulaya (EU) yatamani kurejea kwenye mifumo ya 'Ujamaa' ili nchi zenye gesi ya Urusi zishee na zile zilizokatiwa gesi; Hungary yasema haitaki ujamaa huo

    Tatzo dunia tumekubali watumwa ndio wawe wafalme Asili ya marekani utumwa Vitabu vitakatifu vinakataza mtumwa kuwa mfalme
  6. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Mpaka kufikia Umri huu nimeishi kwa shida sana ndugu zangu, moyo wa mtu umebeba mengi sana

    Pole Sana kwa maisha unayopitia uko duniani. Ukija uku mbinguni maisha unayoyataka utayapata. Uku utachomwa Moto daima dumu kwa uongo Wako, unaishi kwa Kula staf za ukoko alafu unatupanga hapa
  7. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya manunuzi ya gari ndogo ya kutembelea

    Kama unajua kusoma kasome biblia pale kwenye Marko 13:35-37 Maana kwenye 2Wakorintho 2:11 kilichoandikwa sio poa IST Mpya inapatikana posta town kwenye duka lao TOYOTA na bei sio milion 11 zaid ya milion 40 bro jipange bongo Magari yote mitumba kasorya serikali na taasis znazojiweza Cha umuhim...
  8. hancepeter

    JamiiForums Tanzania Nawaza nimfanye nini alienitapeli pesa zangu

    Umedhurumiwa unaanza kututafta Kpind unampa mbona ukututafa
  9. hancepeter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta atangaza ukame kuwa janga la kitaifa nchini Kenya

    Naisi hawakujua wakati WA kupanda Maana wangejua mda huu wangekuwa wanavuna Mnaangamia kwa kukosa maarifa Pole neighbors wetu
Back
Top Bottom