Nawaza nimfanye nini alienitapeli pesa zangu

Nawaza nimfanye nini alienitapeli pesa zangu

Ushauri mzuri sana. Naomba wewe unilipe hiyo pesa badala yake. Kam ni jambo rahisi kusamehe 350k. Roho yangu inakataa hiyo hela lazima ailipie hata kwa damu
Kisasi ni cha Bwana. Pesa makaratasi. Hatukuja na kitu duniani na hatutoondoka na kitu. Mpende adui yako, uwaombee wanaokuudhi. Na hii ndio Injili.

Kujikana nafsi na kuubeba msalaba ndio inatakiwa iwe ni maisha ya kila siku ya mtu. Hatutaweza peke yetu bali kwa msaada wa Mungu yote yanawezekana.


YESU KRISTO NI MWOKOZI
 
Wazungu na Waarabu walifanya biashara ya utumwa na kuiba mali zetu kwa kigezo cha dini.
Ndiyo wamefanikiwa sana. Leo Afrika tunaitwa bara giza au dunia ya ulimwengu wa tatu. Vinara kama Ujerumani, Hispania, Marekani, Uingereza ni nchi za dunia ya kwanza.
Ingekuwa hivyo, Russia asingempiga Ukraine
Wenzako Urusi tayari wamepata dhambi wewe nakuona ni mtu mwema usiye na makandokando na unamatarajio makubwa sana mbele yako, kumbuka Mungu kasema usilipize, alisema hivyo akijua kuna siku utataka kulipiza kwahiyo akakitunzia hazina kubwa na kukuambia usilipize ili uje uifaidi.
 
Huyo binti utakuwa unamwonea, mle yeye mwenyewe huyo mama! Hakikisha unamkunja mpaka miguu yake iguse paji la uso wake!!
Huyo mama ni mtu mzima halafu sio type ya wale mamaza wa mjini wanaojipenda, istoshe mumewe tunaheshimiana sana.

Dawa ni huyo binti tu ndio nafsi yangu itasuuzika.
 
Mm ni mtenda dhambi hata hii niikafanya ni dhambi pia. Acha niungane na Russia
Wenzako Urusi tayari wamepata dhambi wewe nakuona ni mtu mwema usiye na makandokando na unamatarajio makubwa sana mbele yako, kumbuka Mungu kasema usilipize, alisema hivyo akijua kuna siku utataka kulipiza kwahiyo akakitunzia hazina kubwa na kukuambia usilipize ili uje uifaidi.
 
Me pia kuna mama aliniomba nimkopeshe 100000, lakin kila siku ananipiga tarehe mpaka nimeamua kupotezea.

Ila ana binti mzuri sana, nimepanga siku moja nimle kimasihara, nadhani ndio itakuwa Revenge yangu.
Vp bint yake Ana chura
Mfukueee mtr ikiwezekana

Ova
 
Kill him. Pesa saivi ni ngumu jamaa yangu. Dont leave him alone.

Just gives him happy death
Akishamuua wewe utapata faida gani zaidi ya dhambi?

Na yeye ataishia jela maisha au kifo by hanging, na yote kwa shilingi 250,000/-

Mambo mengine siyo ya kufanyia utani jamani.
 
Aisee jamaa nimemkabidhi kabisa 250000 then anakuja kunikana. I will slaught him
Laki 2 na hamsini tu unakuja kupiga kelele kama nguchiro, ingekuwa bilioni 1 kama zile wanazopiga chawa wa CCM Je? si ungeua nchi nzimaaa.. kubwa zima hovyo kabisa..
 
Pole sana...

Siku nyingine usimkopeshe mtu kwa kumpa cash...

Mtumie kwenye account bank au rusha kidhibitisho kinakuwepo...
 
Back
Top Bottom