Ni upepo unaovuma,utatulia.yote hii inaimarisha dangote.maono yangu kitakua kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa afrika mashariki na kati.acha siasa zipite niwakati wake
Ni thamani ya pesa.angalia bei ya marcopolo ama irizar kisha angalia bei ya zhong tong ama yutong,utagundua kwann wasafirishaji wanakimbilia gari za kichina.lakin kifup ni kwamba wachina nao hawako nyuma kitekinolojia ila shida ni kwamba mazingira ya nchi bado ni magum gar zinawahi choka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.