VIDEO: DANGOTE

VIDEO: DANGOTE

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378

Inauma sana ...kama ni kweli haya yanayosemwa basi hii nchi ni chuma kigumu kama cha Liganga...
 
Yan badala ya kuvilinda viwanda vyetu ndio tunaviua sasa
 
Ni upepo unaovuma,utatulia.yote hii inaimarisha dangote.maono yangu kitakua kiwanda kikubwa sana kwa ukanda wa afrika mashariki na kati.acha siasa zipite niwakati wake
 
Wakati huo huo waziri anajitokeza na kuongea mambo yasoeleweka
 
Kiukweli inauma sana, hii inchi bila kutiana adabu kama Somalia kila siku itakua movie kama hizi zinaendela
 
Ninauhakika kama dangote akiondoka ndio chanzo cha tanzania ya - Viwanda.
Huyu jamaa ni Role model hadi kwa wazungu na wachina. Kama dangote ndugu yetu akikimbia unadhani nani atatuamini. Labda kama viwanda viwe ni vya miaka mitano mitano
 
Back
Top Bottom