Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda?

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,819
Wadau, huyo PM mstaafu sijamsikia kabisa toka JPM aingie madarakani! Sijamuona kwenye dhifa yoyote ya kitaifa, hata za kidini.

Kulikoni kwake. Nimemiss sana siku ile aliyokuwa nalia bungeni, baada ya wadau kumkomalia ajiuzulu...!
 
Yupo Dar ana Ishi kwenye kijiji chake binafsi kipo mikocheni aisee kumbe huyu, zee anapesa hatari japo hafahamiki siku nilipoona nyumba zake mikocheni siku taka kuamin
 
magufuli alimdhalilisha pindi anahutubia bunge, aliposema bunge lake hata kusikia kitu km
1, Tupo kwenye mchakato.
2,Upembuzi yakinifu.
mzee pinda akaudhika sana.
 
Hata mimi huyu mzee nataman kumsikia anikumbusha mbali na ile kauli yak e. Ya wachapwe tu.
 
Daaahh.. hata leo mm mchana nimemkumbuka sana Mzee Pinda..!!

Hasa alivyolia pale bungeni, nilimuona mtu wa huruma sana Baba yetu Pinda...!!

Pia nikakumbuka cartoon moja mara baada ya ile 5 bora pale Dodoma kupita.. inaonyesha JK kampiga chini Pinda, kapinduka tumbo juu, mikono kuleeee... kichwa kuleee, miguu kuleee..!!

Kawa mkimya sana Mtoto wa mkulima..!! Maskini..!!

Mzee Pinda, ebu toka mafichoni salimia watu jamani.. aaah..!
 
Back
Top Bottom