Recent content by hamza thomas

  1. H

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Habari kiongozi,kwa Hapo dar soko la asali naweza kulipata wapi?hata mimi asali ninayo ya kutoka karagwe na Bukoba.Please Nahitaji kupata contact za mnunuzi direct.Tuwasiliane 0767440210.
  2. H

    Natafuta soko la asali nje ya nchi

    Habari mkuu,Nimeona uzii huu ukanivutia,hata mimi natafuta soko la asali mbichi kuna mahali ipo nyingi saana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Asante mkuu kwa historia fupi ya changamoto ulizopitia na baadae kufikia mafanikio. Mimi natafuta wapi kuna Soko la Asali mbichi.Yeyote mwenye kujua tuwasiliane Tafadhari. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Chia Seeds - Kilimo na Masoko

    Habarini wadau wote Na mimi nipo mwanza natafuta soko la kuuza virutubisho vya mbegu za chia kwa bei ya jumla.Naweza ku supply kwa kila mkoa ukihitaji.Naomba tuwasiliane 0767440210.
  5. H

    Kwa wajasiliamali wa kilimo

    Habari kwa wadau wote. Nipo mwanza natafuta wateja wa jumla,ninauza virutubisho vya mbegu za chia (chia seed).Naweza ku supply kila mkoa ukihitaji.
Back
Top Bottom