Chia Seeds - Kilimo na Masoko

Nimeanza kuvuna wiki iliyopita, kazi imekuwa ngumu kuliko nilivyotarajia nilifikiri naweza kuvuna kama ulezi na kupiga zikiwa kwenye gunia kumbe la Kkuna kazi ya ziada nilitarajia nikizipiga zikiwa kwenye gunia wakati wa jua kali kazi itakuwa nyepesi,kumbe sivyo.

Naendelea kupata uzoefu kidogo kidogo, tuvumiliane hadi next week Mungu akijalia nitakuwa na picha na ikiwezekana video ndogo namshukuru Mungu hadi sasa nina kama ndoo 5, ila kazi ni ngumu tutajuzana
 
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja.
Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe iliyomo kwenye Chia seeds, Waweza pia ku-google Chia seeds:

Chia Seed Nutrition Profile

The reason chia seeds are so beneficial is due to them being rich in fiber, omega-3 fats, protein, vitamins and minerals.

For example, one ounce (28 grams) of chia seeds contain about: (1)

  • 137 calories
  • 12.3 grams carbohydrates
  • 4.4 grams protein
  • 8.6 grams fat
  • 10.6 grams fiber
  • 0.6 milligram manganese (30 percent DV)
  • 265 milligrams phosphorus (27 percent DV)
  • 177 milligrams calcium (18 percent DV)
  • 1 milligram zinc (7 percent DV)
  • 0.1 milligram copper (3 percent DV)
  • 44.8 milligrams potassium (1 percent DV)
Chia seeds also contain essential fatty acids alpha-linolenic and linoleic acid; mucin; strontium’ vitamins A, B, E and D; and minerals, including sulphur, iron, iodine, magnesium, manganese, niacin and thiamine; and they’re a rich source of antioxidants. Soma 9 Chia Seeds Benefits, Chia Side Effects + Chia Seeds Recipes - Dr. Axe
Naambatisha picha za mwanzo wakati zimeota, ikiwa ni wiki tatu baada ya kupandaView attachment 676144 View attachment 676145 View attachment 676146

Naomba kujua zinachukua muda gani kulima hadi kuvuna, na je kuna madawa yanaytumika au yanashambuliwa na wadudu wa aina gani kingine chia seed zinastawi kwenye ukanda gani zinahitaji maji mengi ama wastani, ungetufanunulia vizuri ili utupe motisha nasie tungie kwenye hicho kilimo
 
Hadi kukauka na kuanza kuvuna ni karibia miezi 4,
Mimi nimelimia mkoa wa Kagera sijui huko uliko hali ya hewa inafanana na hiyo? Kama ni tofauti ni suala la kufanya majaribio tu. Iwapo eneo lina mbolea nyingi then nafasi kati ya mmea na mmea iwe kubwa maana kama itakuwa ndogo mimea itashindana kwenda juu na itaweka matawi kidogo kwa juu na hivyo kupata mavuno kiodogo, nafasi ikiwa kubwa mmea utaweka matawi kuanzia kama inchi 8 kutoka chini na tawi linazaa mengine nk na hivyo mavuno kuwa mengi.
Kama udongo unashikana sana kama mfinanzi then mimea haitakwenda juu sana, hivyo unaweza kupanda kwa nafasi ndogondogo.
Mvua ni muhimu ila isiwe nyingi sana hasa wakati wa kuweka maua ambapo ni kama miezi 2 tangu kuota. Katika mwezi wa mwisho mvua si lazima sana.
Unweza kuhamisha mimea (transplant) endapo umeona kuna sehemu imeota mingi na sehemu ipo kidogo sana; ni vyema kuhamisha wakati mmea una urefu wa inchi 6 na mvua iwe ya wastani. Japokuwa sikuwa makini wakati wa kuvuna, nahisi mimea niliyohamisha ilitoa mazao mwengi kuliko ile niliyomwaga mbegu kwani niliweka nafasi kubwa kama inchi 8 hivi.
Nafikiri kama nilivyolima kwa majaribio basi tusiogope kujaribu - hakuna riskless invetment duniani. Tukilima wengi tutapata uzoefu wa maeneo tofauti tofauti na tukipata mazao kwa wingi tuweza kuanza kutafuta soko la nje.
Asanteni.
Kwa kuwa muda mwingi nakuwa shambani naweza kuchelewa kujibu hoja zenu - tuvumiliane
 
Dahhh, nimefurahi sana kuweka uzi na picha za zao hili muhimu. Mimi ni mtumiaji mzuri, sasa nikwa miezi kama 3, nimeona maajabu sana. Cha kwanza ni kukata mafuta/uzito kwa haraka sana bila jasho na bila kupunguza chakula.
Faida ni nyingi sana.

Asanteni sana na tuendelee kuwasiliana.
Naambatisha hali ya shamba kwa sasa (settings za kamera mwanangu alizibadilisha - hiyo tarehe ni 10.2.2018 siyo 10.3.2018View attachment 694593 View attachment 694598[/QUOTE]
 
DAR ES SALAAM NIPIGIE KWA NAMBA 0768 819 367 KUPATA CHIA SEEDS KWA BEI NAFUU NA USHAURI ZAIDI JUU YA FAIDA NA MATUMIZI YA CHIA SEEDS. EPUKA MATAPELI NJOO UPATE HUDUMA SAFI KWA BEI POA KABISA NA MUNGU AKUBARIKI
 
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja.
Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe iliyomo kwenye Chia seeds, Waweza pia ku-google Chia seeds:

Chia Seed Nutrition Profile

The reason chia seeds are so beneficial is due to them being rich in fiber, omega-3 fats, protein, vitamins and minerals.

For example, one ounce (28 grams) of chia seeds contain about: (1)

  • 137 calories
  • 12.3 grams carbohydrates
  • 4.4 grams protein
  • 8.6 grams fat
  • 10.6 grams fiber
  • 0.6 milligram manganese (30 percent DV)
  • 265 milligrams phosphorus (27 percent DV)
  • 177 milligrams calcium (18 percent DV)
  • 1 milligram zinc (7 percent DV)
  • 0.1 milligram copper (3 percent DV)
  • 44.8 milligrams potassium (1 percent DV)
Chia seeds also contain essential fatty acids alpha-linolenic and linoleic acid; mucin; strontium’ vitamins A, B, E and D; and minerals, including sulphur, iron, iodine, magnesium, manganese, niacin and thiamine; and they’re a rich source of antioxidants. Soma 9 Chia Seeds Benefits, Chia Side Effects + Chia Seeds Recipes - Dr. Axe
Naambatisha picha za mwanzo wakati zimeota, ikiwa ni wiki tatu baada ya kupandaView attachment 676144 View attachment 676145 View attachment 676146

OFA OFA OFA OFA OFAAAAAAAA

BAADA YA NDUGU YETU MTOA POST KUELEWEKA, SASA TUNATOA OFA YA CHIA SEEDS KWA BEI NAFUU KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, UKIPIGA SIMU UNALETEWA MPAKA ULIPO.

KWANZA NIKUJULISHE KWAMBZA ZIPO CHIA SEEDS GRADE ONE KABISA, ZILIZOZINGATIA AFYA YA MTUMIAJI, USAFI WA HALI YA JUU (ZIKO ORGANIC KABISA) ZINA VIWANGO VYA KUTUMIWA NA MTU YEYOTE BILA WASIWASI WA AFYA YAKE.

UNASEMA NAWAPATAJE HAWA WAUZAJI MAARUFU HAPA DAR ES SALAAM......... CHUA TU SIMU YAKO ANDIKA NAMBA 0674 400 681 PIGA AU TUMA MESSAGE.... UTALETEWA KIASI CHOCHOTE UNATAKA KUANZIA KILO MOJA

UNASEMA BEI GANI?

KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU KUNZIA TAREHE 13 DECEMBER 2018 MPAKA 31 JANUARY 2019 TUMETOA OFA YA BEI MPAKA TSH 20,000/= KWA KILO MOJA........KUMBUKA MANUFAA YA HIZI MBEGU NI ZAIDI YA PESA UNAYOITOA

KARIBU TUKUHUDUMIE (UTAKUTANA NA MKURUGENZI MWENYEWE)

EPUKA MATAPELI NA WATU WANAOTAKA PESA NYINGI ZA HARAKA....... TUMEONA NI VYEMA KUSAIDIA WATANZANIA WENGI.... KULIKO KUUZZA KWA BEI KUBWA AMBAYO WENGI HAWAWEZI
 
Nimepokea simu nyingi sana na kwa kweli nyingi sikuwa na majibu kamili kwa kuwa nami ni mara ya kwanza nalima zao hili. Sasa najiandaa kuvuna, baada ya hapo nitakuwa na majibu mengi.
Asanteni sana na tuendelee kuwasiliana.
Naambatisha hali ya shamba kwa sasa (settings za kamera mwanangu alizibadilisha - hiyo tarehe ni 10.2.2018 siyo 10.3.2018View attachment 694593 View attachment 694598
OFA OFA OFA OFA OFAAAAAAAA

BAADA YA NDUGU YETU MTOA POST KUELEWEKA, SASA TUNATOA OFA YA CHIA SEEDS KWA BEI NAFUU KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, UKIPIGA SIMU UNALETEWA MPAKA ULIPO.

KWANZA NIKUJULISHE KWAMBZA ZIPO CHIA SEEDS GRADE ONE KABISA, ZILIZOZINGATIA AFYA YA MTUMIAJI, USAFI WA HALI YA JUU (ZIKO ORGANIC KABISA) ZINA VIWANGO VYA KUTUMIWA NA MTU YEYOTE BILA WASIWASI WA AFYA YAKE.

UNASEMA NAWAPATAJE HAWA WAUZAJI MAARUFU HAPA DAR ES SALAAM......... CHUA TU SIMU YAKO ANDIKA NAMBA 0674 400 681 PIGA AU TUMA MESSAGE.... UTALETEWA KIASI CHOCHOTE UNATAKA KUANZIA KILO MOJA

UNASEMA BEI GANI?

KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU KUNZIA TAREHE 13 DECEMBER 2018 MPAKA 31 JANUARY 2019 TUMETOA OFA YA BEI MPAKA TSH 20,000/= KWA KILO MOJA........KUMBUKA MANUFAA YA HIZI MBEGU NI ZAIDI YA PESA UNAYOITOA

KARIBU TUKUHUDUMIE (UTAKUTANA NA MKURUGENZI MWENYEWE)

EPUKA MATAPELI NA WATU WANAOTAKA PESA NYINGI ZA HARAKA....... TUMEONA NI VYEMA KUSAIDIA WATANZANIA WENGI.... KULIKO KUUZZA KWA BEI KUBWA AMBAYO WENGI HAWAWEZI
 
Attachments

  • 11 Proven Health Benefits of Chia Seeds.pdf
    192 KB · Views: 80
  • images.jpg
    images.jpg
    12 KB · Views: 119
  • MATUMIZI NA FAIDA ZA CHIA SEEDS.pdf
    843.4 KB · Views: 150
  • UMUHIMU WA MBEGU ZA CHIA KWA WATOTO - DOCTOR JOH.pdf
    6.4 MB · Views: 196
Karibuni tena wana Jamiiforums. Kama nilivyoeleza huo nyuma nimeendelea kulima Chia.
Naambatisha picha za shamba kwa sasa.
Ila linalosikitisha ni bei ndogo sana wanayotoa wanunuzi wa jumla toka kwa wakulima, Mtu anatoa bei ya shs 5,000 kwa kilo wakati anajua wazi kuwa yeye anaenda kuuza karibia 20,000! Ebu tumjali pia huyu mzalishaji - tusitumie ignorance yake kujinufaisha kupita kiasi, akikata tamaa akaacha kuzalisha, sijui kama tutaweza kupata supply reliable Tuwasiliane kwa 0713121090, 0621833508 na 0782943133
DSC05585.JPG
DSC05586.JPG
 
Hili zao niko njiani kulilima mwaka huu mpya unaoanza, nimeona ni zao ambalo si lakusumbua Sana na katika kusoma kwangu nimegungua halishambuliwi na wadudu wala magonjwa. Kwa pwani kutokana na research zangu linastawi baadhi ya maeneo hasa Yale ya mabondeni maeneo ya pembezoni mpwa mito mfano mto ruvu huku bagamoyo na kule mloka. Lakini ukitaka kuuza vizuri usiweke mbolea yoyote ya viwandani tumia mbolea za wanyama.

Kwa sasa hivi wasambazaji wengi ambao tumewaona hata hapo juu wananunua kutoka Uganda ama bukoba, karagwe
Karibuni kwa fursa

Muhimu cheki na soko kwanza then ndio ulime
 
Asante kwa comment yako nzuri na karibu katika kilimo hiki, Ninaamini kuwa soko zuri liko nje ya nchi ambako mahitaji ni makubwa ambayo lazima tuzalishe kwa wimgi na tuungane pamoja. Uki -google soko la chia worldwide, custome mmoja anahitaji tani 20 kila baada ya miezi 3! Peasant mmoja hawezi, lakini united we can!
 
Ni kweli na changamoto kubwa ya masoko ya nje muendelezo... Je unaweza kusupply kwa mwaka mzima? Hapo ndio shida itaanza, sasa kwenye chia tani 20 si mchezo maana kwa heka moja nafikiri ni kilo 200-300 sasa kufikisha tani 20 ni changamoto
 
Kuhusu hii issue ya export!!!
This is a great opportunity!
Binafsi natafuta wholesale buyer wa hii bidhaa!
Kama una any information kuhusu international companies that are interested in buying chia seeds tuwasiliane tufanye biashara mkuu
My WhatsApp number is +8618857052304
 
Ni kweli na changamoto kubwa ya masoko ya nje muendelezo... Je unaweza kusupply kwa mwaka mzima? Hapo ndio shida itaanza, sasa kwenye chia tani 20 si mchezo maana kwa heka moja nafikiri ni kilo 200-300 sasa kufikisha tani 20 ni changamoto

Hii issue ni kukaa na kutafuta wakulima wa hili zao ka chia seeds!!
Na kuwapa shule ya hili zao na uhitaji wake kwenye soko la nje!!
Hili zao linahitajika sana kwenye world market!
 
Habarini wadau wote
Na mimi nipo mwanza natafuta soko la kuuza virutubisho vya mbegu za chia kwa bei ya jumla.Naweza ku supply kwa kila mkoa ukihitaji.Naomba tuwasiliane 0767440210.
 
Mkuu uliahidi kutuletea mrejesho kimtiririko lakini umesita mkuu umeishia njiani. Tungependa kuona process ya uvunaji, ulipata kiasi gani kutoka kwenye ekari, uhifadhi nampaka mwisho ulipoingiza sokoni.
Asante kwa comment yako nzuri na karibu katika kilimo hiki, Ninaamini kuwa soko zuri liko nje ya nchi ambako mahitaji ni makubwa ambayo lazima tuzalishe kwa wimgi na tuungane pamoja. Uki -google soko la chia worldwide, custome mmoja anahitaji tani 20 kila baada ya miezi 3! Peasant mmoja hawezi, lakini united we can!
 
Mkuu uliahidi kutuletea mrejesho kimtiririko lakini umesita mkuu umeishia njiani. Tungependa kuona process ya uvunaji, ulipata kiasi gani kutoka kwenye ekari, uhifadhi nampaka mwisho ulipoingiza sokoni.
Kama ulimiss video ya unaji, basi tembelea link hii hapa:
 
Back
Top Bottom