Kwa wajasiliamali wa kilimo

Natafuta m2 mwenye pump ya maji aje tufanye nae kazi ya kuotesha maharage machanga fresh beans baada ya miezi 6 tu tuwe napesa za kutosha
 
Jamani nimesoma kule kuwa kampuni za Kitanzania zitakuwa funded 12m usd................mbona hajazitaja majina kampuni hizo............mlioko dar can you verify this physically kwenye ofisi za UK aid?
 
Natafuta m2 mwenye pump ya maji aje tufanye nae kazi ya kuotesha maharage machanga fresh beans baada ya miezi 6 tu tuwe napesa za kutosha

Mkuu nina petrol water pump Honda za inch mbili na mipira yake PM me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom