Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,295
Mmefanya kazi nzuri sanaKiwanda kipo dodoma
Mmefanya kazi nzuri sanaKiwanda kipo dodoma
Msaada tofauti ya organic honey na natural honey n nn?
Habari mkuu,Nimeona uzii huu ukanivutia,hata mimi natafuta soko la asali mbichi kuna mahali ipo nyingi saana.Changamka fursa ndio hizi unasubiri nini
Biashara matangazo
Nafikiri ungewasiliana na hawa wadau wengine maana mimi nilikuwa ni mchangiaji tuHabari mkuu,Nimeona uzii huu ukanivutia,hata mimi natafuta soko la asali mbichi kuna mahali ipo nyingi saana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapotaka kudeal na intrnatioal business toa full details za mzigo coz ww hauna buyers ila kuna watu wana buyers au bei ya buyers wako ni ndogo kuliko nyingne Kama asali kuna details hujaweka:Habari wakuu.mwenye kujua soko la Asali nje ya nchi anipe taarifa