Recent content by Hamud1988

  1. Hamud1988

    Changamoto zipi Jamii (wazazi na wanafunzi) hupitia kipindi wakisubiri baraza la mitihani NECTA lisahihishe na kutoa matokeo ya mitihani ya wanafunzi?

    Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
  2. Hamud1988

    TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

    Kila nikinunua umeme kupitia Mpesa napata hii massage.. The value of parameter 66880000 is incorrect. The receiver organization queried by the organization entity ID or short code does not exist. Haijawai tokea.. Naanza kuiamini taarifa mliyoukanusha..
  3. Hamud1988

    Vituo vya Afya..

    Nmefatilia kituo husika nmesoma bango Lao upya kimeandikwa KITUO CHA AFYA tena wakaweka na MUDA WA KAZI 24Hrs its ALMIGHTY's wishes that we are still alive
  4. Hamud1988

    Vituo vya Afya..

    Ahsante mkuu its ALMIGHTY's wishes that we are still alive
  5. Hamud1988

    Msaada tutani: Software ya kupunguza ukubwa wa picha to 4 kb

    Vipi kuprinti unit in is njia gani ili zitoke na detail zake..
  6. Hamud1988

    Vituo vya Afya..

    Shukrani Mkuu ntafatilia kwa undani zaidi kwa muongozo mlionipa
  7. Hamud1988

    Vituo vya Afya..

    Hiki ni kituo cha afya kwa mujibu wa bango lao..
  8. Hamud1988

    Vituo vya Afya..

    Unapereka mgonjwa kituo A cha afya kinachomilikiwa na serikali saa 10 jioni unaambiwa mrete kesho tumefunga, unampereka kituo B kinachomilikiwa na serikali anapewa Huduma tena nzuri.. Naomba mwenye ufahamu na sheria na kanuni za afya anielimishe mwisho wa kupereka wagonjwa kituo cha afya ni saa...
  9. Hamud1988

    Msaada kuhusu makosa katika kupakua form ya mkopo elimu ya juu

    Ukisha print hauwezi kuedit.. Ushauri km yupo karibu na ofisi za bodi akaongee nao its ALMIGHTY's wishes that we are still alive
  10. Hamud1988

    Msaada wa tatizo hili loan board: 'Post form four index number you have not confirmed'

    hili tatizo lipo kila mahali na lina muda sasa mimi toka tarehe 7/8 lipo hivyo hivyo nimejaribu kuwapigia bila mafanikio mbaya zaidi wapo kimya hata muongozo hawatupi.
  11. Hamud1988

    Maombi ya mikopo: Vyeti vya kuzaliwa na vifo kuhakikiwa na RITA

    cheti cha form four na form six ni attachment utakazo ambatanisha baada ya kuapply online ukapta application form.. nakala hizo utaziambatanisha baada ya kuwa zimethibitishwa na kamishina wa viapo au hakimu.
  12. Hamud1988

    UDOM inaniandikia application pending, natakiwa kulipia tena?

    duh... hapo sasa... ulijaribu kuangalia vigezo vya kutuma maombi labda kwa kozi unayoomba kama vinasupport
  13. Hamud1988

    UDOM inaniandikia application pending, natakiwa kulipia tena?

    wapigie cm watakuuliza ID number ya malipo then wata confirm wao..
  14. Hamud1988

    UDOM inaniandikia application pending, natakiwa kulipia tena?

    Hilo nmewahi kukutana nalo.. nilisubiri kama wiki moja then hela ililudishwa kwenye number ya tigo niliyotumia kulipia nkalipa ikarespond.
Back
Top Bottom