Msaada wa tatizo hili loan board: 'Post form four index number you have not confirmed'

Liobite

Senior Member
Sep 10, 2013
125
35
Habarini

Ndugu wanajamvi,nimefanya maombi ya mkopo kwa ajili ya mdogo wangu bodi ya mikopo.Nimejaza taarifa zote lakini kwenye post form four education kila nikiingiza index namba wananiambia post form four index number you have not confirmed.

Naombeni msaada tatizo nini?

Asanteni kwa ushirikiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini

Ndugu wanajamvi,nimefanya maombi ya mkopo kwa ajili ya mdogo wangu bodi ya mikopo.Nimejaza taarifa zote lakini kwenye post form four education kila nikiingiza index namba wananiambia post form four indez namba you have not confirmed.

Naombeni msaada tatizo nini?

Asanteni kwa ushirikiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hili tatizo hata kwangu lipo kila nikijaribu tena inakuja vile vile
 
Itakuwa tatizo la kimtandao vumilia

Ila km unavyeti Vingi/umerist itasumbua pia

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
hili tatizo lipo kila mahali na lina muda sasa mimi toka tarehe 7/8 lipo hivyo hivyo nimejaribu kuwapigia bila mafanikio mbaya zaidi wapo kimya hata muongozo hawatupi.
 
Back
Top Bottom