Msaada kuhusu makosa katika kupakua form ya mkopo elimu ya juu

Aug 17, 2017
35
8
Wakuu polen na shughuli za kila siku, ningependa kujua iwapo naweza kusaidiwa ni jinsi gani naweza shughlikia makosa yalio jitokeza wakati napakua form ya mkopo

Sehemu ya kwanza ni katika mwaka ya kuzaliwa baada ya kuandika 1995 tumekosea tumeandika 97 nasehem ya pili ni katika index namba ya form 6 ambayo baada ya kuandika /0520 tumeandika /0020

Naomben msaada waungwna kwmba naweza fanya nini kwa hili...

Matusi si jambo jema,,, ahsante na wakati mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha print hauwezi kuedit.. Ushauri km yupo karibu na ofisi za bodi akaongee nao

its ALMIGHTY's wishes that we are still alive
 
Pole kwa yaliyokukuta, kwa uelewa wangu ukisha submit na uka print, kulingana na maelekezo yao hurusiwi kufanya marekebisho yoyote.

Ila liko tumaini wapigie waeleze shida yako. Wewe si wa kwanza kukosea japo umakini zaidi unahitajika.

*marekebisho ya uandishi *
Baada =badala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu polen na shughuli za kila siku, ningependa kujua iwapo naweza kusaidiwa ni jinsi gani naweza shughlikia makosa yalio jitokeza wakati napakua form ya mkopo

Sehemu ya kwanza ni katika mwaka ya kuzaliwa baada ya kuandika 1995 tumekosea tumeandika 97 nasehem ya pili ni katika index namba ya form 6 ambayo baada ya kuandika /0520 tumeandika /0020

Naomben msaada waungwna kwmba naweza fanya nini kwa hili...

Matusi si jambo jema,,, ahsante na wakati mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu ...ni kwamba ukishaprint huwez tena kuedit ..kama upo dar wafuate kwenye ofic zao mwenge watakusaidia wapo weng kwenye tatzo kama hilo ...kwa simu itakuwa ngumu ..mda mwing wapogo bussy
 
hapo kama umeprint inatakiwa ufanye editing ya hiyo iliopo kwenye system then utai print mambo yatakuwa poa
 
Andika barua inayoonesha hayo makosa.

Iandike, Au Ichape kwa unadhifu na makosa husika yaonekane kwa wepesi, kisha pachika hiyo barua juu kabisa ya form!.

kisha mwisho uwapigie bodi ya mikopo, au ufike ofisi zao upewe utaratibu , kama itabidi kufanya hivyo.

Ni Makosa ya kawaida sana hayo yanayofanywa kila mara.

nakutakia kila la heri.
 
Ukishaprint huwezi kuedit, cha msingi Uandike barua kwa bod yenye kueleza makosa yako yaliyopo kwenye fomu ya mkopo na upitishe kwa mwanasheria/hakimu ikiwa na mhuri wa kiapo.halafu unaambatanisha na fomu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app

edit unaweza kufanya kwaile iliopo kwenye system kijana maana una weza uka print form ata nane
 
Wakuu polen na shughuli za kila siku, ningependa kujua iwapo naweza kusaidiwa ni jinsi gani naweza shughlikia makosa yalio jitokeza wakati napakua form ya mkopo

Sehemu ya kwanza ni katika mwaka ya kuzaliwa baada ya kuandika 1995 tumekosea tumeandika 97 nasehem ya pili ni katika index namba ya form 6 ambayo baada ya kuandika /0520 tumeandika /0020

Naomben msaada waungwna kwmba naweza fanya nini kwa hili...

Matusi si jambo jema,,, ahsante na wakati mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Jarbu kufanya iv andika maelezo sahihi ya mwaka wako na hyo index no zen upeleke mahakaman wakathbtish kuw umekosea afu hyo barua utaambatansh kweny form yako unatuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika barua inayoonesha hayo makosa.

Iandike, Au Ichape kwa unadhifu na makosa husika yaonekane kwa wepesi, kisha pachika hiyo barua juu kabisa ya form!.

kisha mwisho uwapigie bodi ya mikopo, au ufike ofisi zao upewe utaratibu , kama itabidi kufanya hivyo.

Ni Makosa ya kawaida sana hayo yanayofanywa kila mara.

nakutakia kila la heri.
Asante ndugu

Dsk
 
Back
Top Bottom