Recent content by hammy J

  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Mwendo mdundo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Mfano mtu anataka umtengenezee system ya kumwagilia tu bila ya greenhouse ukubwa wa shamba ni robo heka anataka kulima nyanya dharama yaweza kuwa kiasi gani
  3. H

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    So hii 2.5 ni pamoja na kupia udongo na maji pia inajumuisha na kupanda miche ndani ya greenhouse maana sijaelewa tofauti ya mil4.5 na mil2.5 nakumbua ulisema 4.5 unakabiziwa mziko ukiwa kamili kilicho baki ni ufuatiliaji ss hii 2.5 inaishia wapi tafadhali
  4. H

    JamiiForums Tanzania HOJA BINAFSI YA KUMUENGUA Lady doctor kwenye shindano la MISS CHIT CHAT..

    So km mshindi anajulikana kwnn tunaendelea kuumiza vichwa
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume awe rafiki yangu age 45 and above

    Dah hakuna masharti lakini km ni kubadilishana mawazo tu karibu bibie maana maisha ya ss lazima watu wachangie mawazo
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu zifanyazo mabinti/wanawake kujiingiza katika tabia ya usagaji

    Huwa wanalazimisha tu mapenzi hayo huwa yanawachosha sn maana kila siku aingiziwa toy
  7. H

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi inauzwa bei poa

    Mi natafuta masoko ya asali mtanisaidiaje masoko ya ndani na nje
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake za watu

    Mwana kwenye ndoa hakuna mapenzi ndoa ni heshima so km unafikiria kwny ndoa kuna mapenzi imekula kwako
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wangu sasa umekuwa kero

    ss ww unajisifia mzuri una umbo zuri ukitongozwa na wanaume itakuwaje acha mambo hayo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Je km una kisukari mambo yatakuwa mazuri
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natembea na mume wa mtu

    bibie acha utoto umri unaenda unatakiwa na ww uwe na familia yako anakupotezea muda
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia hii haipendezi

    tunataka kujuwa mara unapigishwa msuwaki mnalala mzungu wa nne
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini hasa hali hii iko kwa mpenzi wangu & utatuzi wake ni nini?!

    inaelekea mkira geto mnakaa km kaka na dada mbona kuna mbinu nyingi tu nitafute kwa muda wako
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania hivi nyie wakina dada, vijimaneno na chokochoko mwajifunzia wapi??

    Oya figganigga leo utakuja tabata?.
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania hivi nyie wakina dada, vijimaneno na chokochoko mwajifunzia wapi??

    Oya figganigga leo utakuja tabata?.
Back
Top Bottom