Recent content by hamic94

  1. H

    Ili serikali isikopesheke, deni la Taifa linatakiwa kufika kiasi gani?

    Mitanzania bana!. Asa ukishajua inakusaidia nini!?
  2. H

    Computer4Sale Kwa bei nafuu

    GATEWAY DESKTOP COMPUTER (ALL IN ONE) YENYE SPECIFICATION ZIFUTAZO INAUZWA v Hard Disk 1TB (GB 1000) v Ram 6 GB v Processor Core i3 v Mouse and keyboard ni wireless v Display Inch 21 v Webcam v Inasupport touch screen n.k Bei yake ni laki 5 tu (maelewano yapo) Kwa mawasiliano...
  3. H

    Computer yenye HDD 1000GB RAM 6GB Kwa laki 5.5

    mmmh uko sitofika mkuu
  4. H

    Computer yenye HDD 1000GB RAM 6GB Kwa laki 5.5

    Ni gateway desktop computer.. nmeona niiuze kwa bei ya hasara tu maana nna shida na hela. HDD 1000 GB (1TB) ,RAM GB 6 ,CORE i3,Touch screen, Wireless Keyboard n mouse,webcam, kioo inch 21 n.k Bei ni laki 5.5 tu nicheki now kwa sms/whatsapp/call kwa namba 0714499248.
  5. H

    Nipe laki 5 nikupe bonge la computer

    yeah.. hilo halina wasiwasi kabisa..
  6. H

    Nipe laki 5 nikupe bonge la computer

    yeah kwa hilo wala ucwe na wasiwasi
  7. H

    Nipe laki 5 nikupe bonge la computer

    Ni gateway desktop computer.. nmeona niiuze kwa bei ya hasara tu maana nna shida na hela. HDD 1000 GB (1TB) ,RAM GB 6 ,CORE i3,Touch screen, Wireless Keyboard n mouse. nicheki now kwa sms/whatsapp/call kwa namba 0714499248. bei ni fixed
  8. H

    haraka sana!!! mayai mia moja ya kuku wa kisasa yanahitajika

    mi nnazo ila kila trei ni sh 7000.. Vp unaweza
  9. H

    Eti jamani kuna ukweli kuhusu hili...

    Asali mbichi ikipakwa kwenye kiungo cha mwanaume humsababisha mwanamke ajisikie raha sana ktk sex...?
  10. H

    natafuta kazi yoyote halali

    mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na matokeo yangu nilipata DIV IV ya 28. nna D za Civics,kiswahili,geog,history, chemistry na nna C ya english. nimeshindwa kujiunga na chuo kusomea kozi kwasababu sina hela kabisa na hata nyumbani hela ngumu sana. natafuta kazi yoyote...
  11. H

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Hawa ccm kweli noma ndugu zangu, Hebu fikirieni ktk secta moja tu ya bank kuu tunawakuta..... ... FILBERT SUMAYE, BEATRICE BOMAN, PAMELA LOWASA, ZACHARIA KAWAWA, SALAMA MWINYI, RACHEL MSEKWA, SALAMA MAHITA, JANE SITA, JASMIN KARUME, JUSTINA NCHIMBI, BLASIA MKAPA, RATHIA SHEIN, JEROME...
  12. H

    Mwigulu nchemba aipongeza chadema!

    Mwigulu aipongeza CHADEMA NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwigulu Nchemba, amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ushindi, huku akitoa angalizo kwamba ushindi wao umetokana na chama hicho kuwa watetezi katika kata hizo. Mwigulu ambaye pia ni...
  13. H

    Kijana abaka mbuzi wa jirani

    kuanzia leo natangaza kuwa UDOMO ZEGE ni janga la taifa
  14. H

    Siungi mkono kurudia usahihishaji matokeo kidato cha nne

    we ulieleta hii post mikundu yako,hujui watu tuliofanya mitihan then tukafeli jinc tulivyoumia.... km we unaona kurudia kufanya mtihan kazi rahisi peleka ------ yako yakafanye.. watu tunamshukuru mungu kwa kutupigania tupate haki yetu we unaleta mada za kisenge.. hakyamungu we m2 umenkera sana...
Back
Top Bottom