Kwa jinsi maelezo yako yalivyo, hili jambo unalielewa kwa kiasi kikubwa, sijui ni kwanini unatumia uelewa wako ku-twist ukweli na kuwaingiza wenzio chaka. Yaani story yote umekwenda nayo vizuri sana ila mwisho, kwenye sinema ya nevada, ndipo ulipoacha njia kuu. Tafadhali kamalizie kupitia...