Recent content by Hambaku

  1. H

    Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    Ni mwaka wa kufanya mageuzi ya kimaamuzi ktk vyama vya siasa na siasa. Tuamue kubadili mfumo wa kiuongozi kuwa wakuheshimika na wawazi kwa wafuasi, wapenzi na wakereketwa! Tunamchagua Rais wetu atuongoze na watoto au ndg zake watuongoze!
  2. H

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    asante sana mkuu kwwa kutujuza
  3. H

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    aisee, bado tu hawajaanza kurusha hayo matangazo? maana mimi nipo mbali na tv
  4. H

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Jamani, tujuzeni basi. mimi ninashidwa kuendelea na mambo yangu mpaka nijue ni nani hao wameteuliwa
  5. H

    Lowassa is back!

    Tumeshuhudia vyombo vya habari mbalimbali na hasa magazeti yakijitahidi kwa hali na mali kukumbusha yale mazuri aliyoyafanya(kumsafisha) mh. Lowasa kwa kuchambua enzi za uwaziri mkuu wake, ni kweli alifanya mazuri amabayo anasitahilli kupongezwa. Ninachoshangaa sana ni kwanini wameamua...
  6. H

    Benjamin William Mkapa nimjuaye...

    BWM, alifanya mengi mazuri ya kuzungumzwa na yanapaswa kuendelezwa. Kuitwa second JKN ni haki yake, kuitwa msomi ni haki yake, kuitwa mwanadiplomasia makini ni haki yake, kuitwa kiongozi shupavu ni haki yake na kuitwa mwokozi wa pili wa Tanzania baada ya JKN ni haki yake. mimi ni kijana...
  7. H

    Vipi wakuu Same Boys Sec School

    Mimi nilikuwepo hapo enzi za Mhando, mkuu aiyebadili historia ya Same sec kwa uongozi shupavu. Alikaa muda mfupi, lakini matunda yake yalionekana. KILA LA KHERI MR.MHANDO POPOTE ULIPO
  8. H

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    Ngugu zangu Watanzania wenzangu, mimi binafsi nampeni pole mzee wetu mpendwa rais mstaafu Mwinyi kwa maswahiba yaliyompata. Hata hivyo sitaki kuamini kama mtu mwenye madaraka makubwa kama RAIS(hata kama ni msitaafu) kuwa na ulinzi legelege kama nilioona jana kwa mzee ruksa. Najiuliza, hivi huyo...
Back
Top Bottom