Lowasa nilimkataa kwakua hakuwa na uwezo wa kuwashughulikia mafusadi na wabadhilifu kwakua wengi wao walikua upande wake,
Lakni pia lazima tukubaliane kuwa kuna baadhi ya mambo ambayo yanahitaji maamuzi magumu na makini kwa lowasa asingeweza kuyashughurikia mf mchakato wa kusuka chama upya kwa...
Siyo simile sema watanzania sisi tumezoea kuishi kwa unafiki na hiyo ndio iliyopelekea chama kuwa na wakati mgumu 2015 hatuambiani ukweli, unafiki unafiki tu.
Sasa tunapata shida coz Ngosha he is not a politician
Kwa matumizi ya oil katika engine za magari huwa hatujitungii kichwani kuwa ni aina ipi ya oil utumie eti kwakua kwenye gari ya fulani kaona inamfaa zaidi, hapana,
Huwa tunafuata Manual Instruction book, kitabu cha kwenye gari ambacho kinakuelekeza jinsi ya kutumia na kulifanyia matengenezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.