Ni heri ya Lowassa!

Ni heri ya Lowassa!

Mtajinyonga mwaka huu kuanzia lini shetani akawa Malaika Lowassa huyu unayemnadi si ndiyo alikuwa mtuhumiwa wenu namba moja kama fisadi aliyekubuhu bingwa wa madili na makundi Mungu atuepushe na jitu linaloitwa Lowassa maana atauza mpaka mbuga zetu kama uwaziri mkuu tu Ulimshinda urais angeuweza wapi? Lowassa hatakuja na haitatokea akawa rais wa nchi hii labda aende somalia Tuachine Magufuli wetu
 
Watanzania tunamhitaji Lowassa kuliko anavyotuhitaji yeye.
Lowassa ndiye hasa kiongozi aliyetufaa,hakukuwa na wala hakuna mbadala wa Lowassa kwa yale tunayoyapitia sasa.

Namshukuru Mungu sasa ukweli umedhihiri.
Sasa sio muishie kulialia,2020 tuungane tufanye kweli.
Na zikifanyika figisu kama za 2015 (everybody knows) tuingie barabarani.

[HASHTAG]#TanzaniaNiYetuSote[/HASHTAG]
[HASHTAG]#SayNoToDictatorship2020[/HASHTAG]
 
Wewe huna akili kabisa, Castro alikuwa na uzuri gani?
aliwafanya wa Cuba waishi Kama mashetani Kama jamaa yako juma, Cuba ikageuka na kuwa magofu, mamia ya wa Cuba wakawa wanakimbilia Marekani na wengine kuzama baharini.
aliimarisha jeshi ili asipinduliwe.
Castro hakuwa na uzuri wowote, aliingia madarakani Kama mkombozi wa wacuba lakini akawageuka na kuwa mwiba, hiyo ndo kawaida ya Madikteta wengi duniani, akawanyima Uhuru wa habari wananchi na kubakiza vyombo vya serikali tu.
Nyie mitoto mliozaliwa miaka ya 1980 akili zenu ni za kushikilia na superglue.
hamjitambui kabisa.
Dah..hivi Hitler alikuwa mzuri au mbaya??
 
Chadema wao wanashangilia tu.

Maana ndio kazi inayowapeleka huko ulaya kuichafua nchi kwa gharama yoyote.
 
Mmm ghafla mnataka Lowassa? Yule mliosema hafai,na hana chembe ya kuwa raisi?Wacha tuoje joto ya jiwe.
 
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Unamlilia Edward Lowassa!, Kweli Watanzania ni wepesi kusahau.
Mara hii mshasahau kero zilizo shamiri sana za awamu zilizopita kama Rushwa, Ufisadi, Wizi, Ajira za upendeleo, Matumizi mabaya ya fedha za serikari, Uzembe wa watumishi wa uma, Uwepo wa viongozi dhaifu wanao shindwa kufanya maamuzi magumu, Kukosekana kwa uzalendo, Kila mtu kujidai afisa wa ikulu au usalama wa taifa.
Raisi Magufuli anaweza kuwa na mapangufu lakini si hadi kumkumbuka mtu kama Edward Lowassa
Pia naiomba serikari impatie basi dhamana Maxcence Mello
 
Tumuombee dua lowassa awe na afya njema bwana yule atajua kilichomtoa kanga manyoya
 
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Tuvute subira mpaka 2020
 
Yani ukiachana na tuhuma za ufisadi lakini jinsi Lowassa alivyokuwa anaelezewa akiwa ccm ni tofauti na anavyoelezwa sasa alivyohamia chadema.

Dah! Siasa hizi zinawatia watu upumbavu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom