Kuna Usemi Unasema.
"YOU WILL NEVER ESCAPE A REALITY BUT YOU ESCAPE THE CONCS OF REALITY"
Namaanisha hata anaekaa nyumbani kuna wenye positive reason na negative reson,halafu waswahili tumejawa na neno kasumba.
wakat napata kujielewa nilikuwa nasikia misemo mbalimbali kama.
wazazi...
Habari Zenu Wanaforums Nakuja Kwenu Kutaka Ushaur Wenu. Nina Ndugu Yangu Amefanya Mtihan Wa Kidato Cha Nne Mwaka 2012 Na Matokeo Yake Hist D Math D Bios D Geo D Civ D Chem D Kisw F Engl F Phy F Na Anapenda Kozi Za Afya Yani Laboratory Technician Sasa Ninachokihtaji Ni Vyuo Gan Vizur Vinatoa Kozi...
oh naona vijana mmeumiza vichwa kuhusu haya matokeo baada ya rais wa uganda kukubali kusaini sheria hii cha kujadili ni kwamb je ndoa za jinsia moja na ushoga zinastahl katika vizazi vya afrika vijavyo jibu hapana huu ni ujinga japo tunaweza tukawa na zakwetu je auothority za huduma ya internet...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.