Recent content by Hamad Mallya

  1. H

    JamiiForums Tanzania ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

    mtoa mada una akili kabisa yani! mbona ulizi cdm izo ela za kurusha chopa wnazitoa wapi?
  2. H

    JamiiForums Tanzania ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

    mtoa mada una akili kabisa yani! mbana ulizi cdm izo ela za kurusha chopa wnazitoa wapi?
  3. H

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mkutano wa ACT - Wazalendo, Iringa (Aprili 12, 2015)

    Ukawa ni chama gani? Act mpango mzima bwana, na usiwe na uwoga na kivuli chako mwenyewe.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    sawi sana pambana kijana
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe atimiza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo lake

    jiulize ameahidi lini mpaka anakuja kutoa leo? hai aturubuniwi,endapo siku zote tusingelikua na gari wagonjwa inamaana watu waengeendelea kufa wakisubiri ahadi yake ya miaka 5 iliyo pita?subiri october utajua hai tunamwiitaji au laa.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva wazimwa na Waziri Kabaka

    sidhani kama mtu kuambiwa akasome anaonewa! jiulize mwaka huu pee ni watz wangapi wamekufa kwajili ya ajali. mambo mengine tusiyachukulie kisiasa tu tuangalie na maisha yetu wenyewe.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havijiamini

    endapo atakua kahodhi madaraka yote ya chama kama slaa na mbowe kweli act apo itakufa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Azam TV wafanya yao, Charles Hillary atua nchini

    una wifu ww
  9. H

    JamiiForums Tanzania Endapo UKAWA wakishinda October, wataunda Serikali ya mseto?

    Wanajamvi ninamaswali siyapatii majibu, Najaribu kujiuliza itakua vipi kama ukawa wakishinda oktoba kwenye uchaguzi mkuu? Je wataunda serikali ya mseto? au ndio utakua mwisho wa ukawa,maana iko wazi katika kugombea hakuna kiongozi yeyote wa ukawa ambaye yuko tayari kuhama chama chake na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wabunge wa Upinzani wadaiwa kujipanga kuhamia CCM

    daah!siyo siri chadema mnaumia sana zito kufanya kweli,jikubalini sera yenu aina mantiki.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa UKAWA, njia pekee ya kuitoa CCM madarakani

    utaitwa msaliti sasa ivi
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

    ata cuf mliwaita mashoga! lakini leo hii mnawaona vidume, kisa wamejiunga ukawa ipo siku act tanzania itachukua nafasi ya chadema.
  13. H

    JamiiForums Tanzania ACT na kubanwa kwa demokrasia TANZANIA

    nccr cuf cdm nld wote awana sera na ndio maana wenyewe awajiamini ndio maana wakaungana ili waweke sera ya vyama vinne iwe moja.
  14. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bila matusi itakuwaje?

    kama kiongozi wa chana alikua dj unategemea wanachama watakuaje?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    mbona ujiulizi walio anzisha cdm walipata wapi fedha za kujiendesha wakati wanaanzisha chama? kumbuka ata wazilishi wa cdm walikua wasaliti na ndio maana wakaweza ivyo tusione wengine ndio wasaliti tu, na unawezaje kuona mmesalitiwa angali tiari mliwafukuza? Ukawa ni nn? maana tz akuna chama...
Back
Top Bottom