Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
nimewah kuhuduria jf na kuona cmmnt za wafuas pamoja na viongoz wao
Kwa hiyo?
nimewah kuhuduria jf na kuona cmmnt za wafuas pamoja na viongoz wao
Lusinde naye ni Chadema ?nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
Matusi mabaya zaidi ya Milioni kumi ni hela ya mboga niyapi tena?
Lusinde naye ni Chadema ?
Ck zote mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe
Mtaji mkubwa wa chadema ni kutukana.Kama wakiandaa mkutano wa hadhara wasipotuka vyama vinavyowapinga na kutukana polisi, wateja wao huwa hawaridhiki! ndio maana sidhani kama wananchi wa kawaida yupo anayeijua sera na ilani ya chadema zaidi ya kusikia matusi na kuambiana fulani mwizi basi.
Sikuwa najua Lusinde yupo CDM?nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
Sikuwa najua Lusinde yupo CDM?nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
Matusi gani,ebu yataje hayo matusi tuyasikie..alafu pia rejea yule kichaa wenu lusinde kule arumeru..alikuwa anahubiri injili takatifu eti??? Ushabiki banaa..
Ni shidaa tu
.
Chama kinaongozwa na watu waliotelekeza familia zao,mboe kazaa na mbunge viti maalumu na slaa ana kesi ya kunyang'anya mke wa mtu na kuzaa nae.sasa hawa wanafanya matusi kwa vitendo,washabiki wao ni kutukana na fujo.ndio maana mama kamili anaendelea na kesi mahakamani.
Bila matusi haiwezekani
Mitandaoni wafuasi wa vyama vyote wamo watukanaji, ukiingia upande wa viongozi kuna watu kama lusinde. Huyu ni mtukanaji mwandamizi, akifuatiwa na Peter Serukamba, juma nkamia, Mwigulu nchemba,..........