Recent content by Halopesa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Kaka umejibu vizuri sana bro.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

    Kweli kabisa hiyo kitu imeegemea kwenye diplomasia.Na diplomasia ni mchongo Sana kwa national intereste than one person intereste
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    Duuuub 😰😰😰😰 hatari tupu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    😂😂😂😂😂😂 Yaani wakikuona tuuu wabajidistance.Hii ni hatari kubwa Sana asee tena ugeniniii
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

    Ni ukweli usiopingika huo.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Na. Nimikataba ya niniii vile
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Mbowe ameshinda pingamizi lake lakini kwa sababu halikuwa na madhara yoyote limetupwa. Jaji awapongeza mawakili kwa umakini!

    Kabisa.Yeye mwenyewe jaji amekubali sasa anapinga nini tena
  8. H

    JamiiForums Tanzania TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    TBS NA TFDA NI WAFUGA VITAMBI MAOFISINI NA WALA RUSHWA TUUU.BIDHAAA MBOVU NA ZILIZOKO CHINI YA KIWANGO NI NYINGI MNO NA WAO PIA WANASHANGAAA HIZO BIDHAAA.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

    Mzeee Mpili kauli kama hizi yeye huziita takataka.Mke mdogo kamkuta baba na Mali zake halafu uje uzichukue kirahisirahisi tuuu.Walahi tunakuuua huku unajiona.Jackline atulie tuuu alifikiri mdoni atamwachia Mali zote zile
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ceres Juice inasumu ya patulin, TBS mpo wapi?

    Mkuuu ulichosema ni cha kweli kabisa.Mwezi wa tatu mwaka huu nilisafiri kutoka mbeya to dar.Njianj nikanunua juice hiyo kutika morogoro niliharisha mpaka nikahairisha Safari na kutafuta gest nilale.Niliihisi tuu ni ile juice.Hivyo nikaiacha kuinunua mpaka leo nikiiona naiona kichefuchefu.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kituo cha television ITV Tanzania, kweli ni Super Brand

    Hata Mimi siangaliagi habari za uchafuuchafu huko ITV Mimi naangaliaga UTV huko ndio superbrand hatari
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UN ni gulio la kununua viongozi wa nchi zinazoendelea

    😲😲😲 Mmmh it's very sad.So what others are still feeling their winner in approaching the UN meeting
  13. H

    JamiiForums Tanzania Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

    Larry Bwalya sio mzuri hata Hana stamina Kama Chama pia Morrison NI takataka nyingine Simba
  14. H

    JamiiForums Tanzania Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

    Kagere is outdated pale Simba.Cha ajabu yupo mpaka leo hiii.Halafu NI but sana
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

    Hakuna Cha ushujaaa Wala Nini Hamza alichanganywa na mirindimo ya risasi kutoka pande zote alimojificha.Sasa ndio akamshindwa kumtandika huyo soja na angepigwa Chuma angekufa angelaumiwa mwaka mzima
Back
Top Bottom