Ceres Juice inasumu ya patulin, TBS mpo wapi?

Hao watu wa TBS wamelala usingizi, sidhani kama wanayo hata analytical procedure ya kuweza ku determine kiwango cha patulin kwenye apple juice achilia mbali hata kuwa na regulatory limits, vitu kama hivyo wakishakagua lile box la juice na kuona linapendeza basi imepita hiyo.........nchi ya bongolala ni ya kuhurumia sana.
 
Kwanza ina bei kubwa, kwa bei yake napata maembe matatu na passion robo
 
Mataifa saba ya Africa yameiondoa juice ya Ceres sokoni na kuzuia kununuliwa kwa kuwa inakiwango kikubwa cha sumu ya Patulin inayosababisha madhara ya kuhara na kutapika

Nchi za Uganda, Kenya ,DRC , Zambia, Malawi, Seychelles, Mauritius zimelazimika kuondoa juice hii sokoni na kuzuia kuagiza

Japo nchi tajwa zimetumia mwavuli wa COMESA kugomea bidhaa hii inayotengenezwa Africa Kusini ni bora mamlaka za Tanzania kupiga marufuku kwakuwa inauzwa sana hapa nchini na tuko na juices nyingi tu bora za wazawa

USSRView attachment 1973664View attachment 1973665
Kama nimeelewa ni juice ya ceres ya apple siyo ya matunda mengine.Maana hiyo sumu inaoneka chanzo chake ni Kwenye apple.So mtoa maana uwage specific
 
Mataifa saba ya Africa yameiondoa juice ya Ceres sokoni na kuzuia kununuliwa kwa kuwa inakiwango kikubwa cha sumu ya Patulin inayosababisha madhara ya kuhara na kutapika

Nchi za Uganda, Kenya ,DRC , Zambia, Malawi, Seychelles, Mauritius zimelazimika kuondoa juice hii sokoni na kuzuia kuagiza

Japo nchi tajwa zimetumia mwavuli wa COMESA kugomea bidhaa hii inayotengenezwa Africa Kusini ni bora mamlaka za Tanzania kupiga marufuku kwakuwa inauzwa sana hapa nchini na tuko na juices nyingi tu bora za wazawa

USSRView attachment 1973664View attachment 1973665
Mkuuu ulichosema ni cha kweli kabisa.Mwezi wa tatu mwaka huu nilisafiri kutoka mbeya to dar.Njianj nikanunua juice hiyo kutika morogoro niliharisha mpaka nikahairisha Safari na kutafuta gest nilale.Niliihisi tuu ni ile juice.Hivyo nikaiacha kuinunua mpaka leo nikiiona naiona kichefuchefu.
 
Sio hizo tu hata hizi za azam tropical nazo sio nzuri..shida Nchi hii ni wanasiasa wanafanya vitu kwaajili ya popularity za kisiasa..hawajali afya za watu wanatengeneza hospitali ili watu waukue..hawataki kupambania afya kinga.

Tbs iwezeshwe ifanye kazi zaidi ya kulinda bidhaa za walaji nhini hali sio nzuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acheni basi,kuna juice nzuri Tanzania kama ceres?mimi sijawahi pata hizo changamoto nitaendelea kubwia tu bia nisinywe na juice tena!
 
Tatizo viongozi wengi hawasomi Habari za kimataifa
Saa ngapi ataona hizi habari
 
Hao watu wa TBS wamelala usingizi, sidhani kama wanayo hata analytical procedure ya kuweza ku determine kiwango cha patulin kwenye apple juice achilia mbali hata kuwa na regulatory limits, vitu kama hivyo wakishakagua lile box la juice na kuona linapendeza basi imepita hiyo.........nchi ya bongolala ni ya kuhurumia sana.
Vifaa vipo wasomi wapo na hicho unachokisema ni hisia zako tu, ila kazi zinafanyika na hatua zinachukuliwa. Tatizo mnataka taasisi zetu zifanye kazi kwa kukurupuka.
 
Ndo hivyo sasa kazi ionekane ikifanyika, maana mmeshalalamikiwa pia kuhusu bidhaa zilizo chini ya kiwango hasa kutoka china kujaa kwenye soko la bongoland.......
 
Mataifa saba ya Africa yameiondoa juice ya Ceres sokoni na kuzuia kununuliwa kwa kuwa inakiwango kikubwa cha sumu ya Patulin inayosababisha madhara ya kuhara na kutapika

Nchi za Uganda, Kenya ,DRC , Zambia, Malawi, Seychelles, Mauritius zimelazimika kuondoa juice hii sokoni na kuzuia kuagiza

Japo nchi tajwa zimetumia mwavuli wa COMESA kugomea bidhaa hii inayotengenezwa Africa Kusini ni bora mamlaka za Tanzania kupiga marufuku kwakuwa inauzwa sana hapa nchini na tuko na juices nyingi tu bora za wazawa.

USSR

View attachment 1973664View attachment 1973665
Huwa najiuliza kwanini juice hiyo inauzwa bei chini hapa kwetu kuliko SA
 
Back
Top Bottom