Acha hasira chuoni hayo ni mambo ya kawaida. Naamini hata wewe huko uliko kuiba mara moja moja huwezi kuacha. Muache achakachue na wewe chakachua mwisho wa siku mnaoana
Nyumba ndogo hazijengi hata kidogo. Kaa na mwenzio muondoe tofauti zenu na muendeleze familia. Matatizo hayaishi kwa kuyakimbia bali ni kukaa chini na kuyatafutia ufumbuzi. Acha kukwepa majukumu wewe!
Hao wabunge wa CHADEMA sio wajinga, ni heri wangepewa uhuru bungeni wasikilizwe wanachodai. Kumbukeni hao ni watu wazima na sio watoto wadogo, na wengine ni wanasheria. Mimi naona madai yao ni ya msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.