acha udini utakatifu ni eneo na si mtu ....mtu anaweza kubadilika wakati wowote ndo maana eneo alilozaliwa yesu bikira maria hakuna ukristo kwaiyo uko nako sio sehemu takatifu kwa imani yako tukufu
mimi ninashida nimekaa kwenye sehemu moshi wa gar ulikua unavuja kwa muda mrefu wa safari sasa nimelala nikjikuta naamka usiku baada ya kusikia maumivu kwenye fundo la koo panauma je nitumie dawa dani
d
Daaah !!! Post hujaielewa ubongo wako umeujaza mawazo ya mavi tu ukiwa na mawazo ya kuliwa kalio utaliwa kweli ishu hapa mwenye gari binafsi sasa akitaka nauli c atapewa ??
Kama kuna mtu ana gari binafsi anaelekea dodoma jioni hii tupate kwenda wote naelekea maeneo ya huko nimekosa usafiri wa uhakika nipo apa shekilango tuwasiliane inbox
Huyu Kimei nae akamatwe anaonekana anatetea wahalifu hivi kuna mtega ambae anafanya biashara genuine acount yake ikaanikwa wazi??Inamaa benki haiwezi kutumika kuficha fedha ambazo zina makosa mbalimbali ikiwa kukwepa kulipa kodi nk??
Mbona marekani wanatangaza utajiri wa mtu na amount in cash...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.