Recent content by Half B

  1. Half B

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Ila chama chake kipo,
  2. Half B

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Yoyote anaweza kuwa mgombea si lazima kaskazin
  3. Half B

    Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Nadhani ni muda muafaka wa UKAWA kuanza kumuandaa Tundu lissu kuwa mgombea wa kiti cha urais, kwani kwa maoni yangu nahisi ndo mtu sahihi kabisa wa kupambana na CHAMA CHA MAKANIKIA. Sijui munaonaje nyie wadau. Karibuni kwa mchango
  4. Half B

    Hii ni maalum kwa ma EX wote tubadilike

    Mfa maji haishi kutapatapa
  5. Half B

    Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Asante mkuu kwa ushauri wako
  6. Half B

    Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Mkuu hana uke mkavu,isitoshe huwa namuandaa vizuri.na Tatizo limeibuka mwanzo hakuwa nalo
  7. Half B

    Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Mkuu namuandaa vizuri sana.tatizo linakuja baada ya kumaliza tendo.
  8. Half B

    Msaada: Maumivu makali baada ya tendo la ndoa

    Habari zenu wakuu, Nina girl friend sehemu zake za sri zinaleta shida. tatizo lake baada ya tendo anadai anapata maumivu makali, anadai hayo yanaambatana uke kujifunga huwezi kurudia tendo tena hata kupitisha kidole. Maumivu yale anahisi kama kuna vidonda ndani ya uke, amepimwa tukahisi labda...
  9. Half B

    Natafuta mke wa kuoa

    Duuuu!!! Mwanake=Mwanamke
  10. Half B

    Natafuta mke wa kuoa

    Nina umri wa miaka 31,natafuta mwanake wa kujenga familia kama mke na mme.sifa awe na umri Kuanzia miaka 22_28,awe mrefu,mcha Mungu pia awe na uhitaji was kuolewa. Alie tayari anichek pm.
  11. Half B

    Akina dada mjiangalie mnaboa sana

    Utageuka nguzo ya chumvi... Kila Wakati macho kodoo
  12. Half B

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mimi ni kijana wa miaka 31, nimwajiliwa serikalini, nahitaji mwanamke wa kuishi naye kama mke. Sifa; 1.Mrefu 2.Mweupe 3.Mcha Mungu 4.Awe tayari kuishi mazingira ya kijijini kwa wakati huu. Aliye tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.
Back
Top Bottom