MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Mnikosoe kama nitakua nimekosea,
Mwalimu Nyerere alikua Mzanaki, lakini kwenye matukio ya kitaifa sikuwahi kusikia akiongea Kizanaki hata alipopitia kwaobjapo alikua anakifahamu vizuri, Mzee Mkapa ni Mmakua Lakini kwenye matukio ya kitaifa sikuwahi kumsikia akiongea kimakua kila alipopita Pale Masasi kuwasalimia ndugu zake,hali kadhalika mzee JK ni Mkwere na anakifahamu vizuri kilugha chao lakini sikuwahi kusikia akifika pale Chalinze au Msoga akazungumza kilugha.
Ukiona mtu anapenda sana kuongea kinyumbani kila anapokutana na ndugu zake hata kama wanaomzunguka si wa kabla lake mwangalie sana huyo mtu kwenye malezi ya familia yenye mchanganyiko wa makabila tofauti.
Ukitaka kukubaliana na mimi nenda ofisi yeyote ukute kuna kundi flani la watu wa kabila flani wakikutana wanazungumza kilugha bila kujali kuna wengine wa makabila mengine, tazama utendaji wao wa kazi,mbaya zaidi kiongozi awe anatokea kabila hilo.
Tusiishie tu kulalama tu, tukubali tu kua kuna mahali tulikosea!" kutenda kosa si kosa bali kurufia kosa"