Ni ngumu sana hii, nchi bado ipo katika Ujamaa wa Ki China na Urusi ambapo lazima kundi maalum lichague nani wa kutukuzwa na kupata heshima ya juu ndani ya nchi.
Acha hisia na tafakari. Unity yetu sio ya lazima lakini ilikuja wakati so many forces wakijaribu kufanya mambo yao. “Cold War agenda”. Na pia Maritime issues ilichangia.
Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT.
Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua...
Kwa uwekezaji katika soka hizo nchi zimefanikiwa sana, lakini sidhani itakuwa hivyo. Mimi baada ya hatua za makundi ndo utabiri wangu tauweka hadharani.
Baadhi ya nchi zilizofuata mfumo wa ki socialist/communist mambo mengi huwa siri, na Tanzania ni mmoja wapo.
Mpaka leo viongozi wa chama wana nguvu ya kumkosoa na hata kumfokea Waziri au kiongozi kutoka kwenye taasisi au wizara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.