Wa kulipa kodi sio hawa wa nyumba za elfu ishirini ishirini. Ni wale wenye ma appartment ambayo kodi kwa mwezi ni milioni mbili hadi milioni tano. Wakitulipoisha huku uswazi wote tutahama jiji na kwenda kuishi vijijini... In the end of the day atakaye isoma namba bio mwenye nyumba bali wapangaji.
Duh, haya majibu yaliyotolewa na wadau yanaleta 'mixed reaction'. Sasa cha kufanya chambua yanayokufaa uyafanyie kazi. Hela mwana haramu. Ikikaa ndani matatizo nayo ndio yanaanza kujitokeza na unaweza kushangaa pesa yote imeliwa. We anza ujenzi. Hata ikiishia kwenye msingi, utakuwa umeshapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.