Hairfolicle
Member
- Jun 11, 2016
- 5
- 3
Maana mnyetishaji mkuu inaonekana amekata tamaa...
Maana mnyetishaji mkuu inaonekana amekata tamaa...
Hakuna zuri! Hata yakiwekwa hapa mtasema yamepikwa!Maana mnyetishaji mkuu inaonekana amekata tamaa...
Nyie sio kupika tuu hata kukaanga mnaweza pia.Hakuna zuri! Hata yakiwekwa hapa mtasema yamepikwa!
Mapato ya TRA naamini ni MAZURI. Magufuli yuko job.Maana mnyetishaji mkuu inaonekana amekata tamaa...
Nasikia mwezi huu ni chini ya billion 500.Yanavyoshuka kwa kasi hadi tunaogopa kuyatangaza manake tunaweza tumbuiwa utadhani kosa ni letu...... bora ajionee mwenyewe.