Barabara ya Bagamoyo imeanza kuwekwa taa za kuongozea magari , ni jambo jema kwa ustawi na maendeleo ya Jiji hasa wakifanikiwa kuweka na taa za katikati.
Nije kwenye hoja , kama ukitokea africana kuelekea Tegeta kuna tatizo kubwa la foleni limeletwa na hizi taa ambazo kwa mtazamo wangu naona...
Unapaswa kuangalia yafuatayo :
1. Zima kila kitu na uchunguze kama bado kuna Unit ina/zinasogea , kama ukiona zinasogea wakati kila kitu kipo unplugged/disconnected basi ujue kuna shida ya ziada
2. Hakikisha switch socket ya vitu kama ving'amuzi au deki vimezimwa wakati ambao havitumiki au...
KUTOKANA NA UZOEFU WANGU KTK INDUSTRY YA TELECOM YAFUATAYO YANAHITAJI SERIKALI IINGILIE KATI
1. Mabadiliko holela ya bei kutoka makampuni ya simu na washirika wake ( Huawei na Helios towers ) yanaelekea kuua makampuni ya mawasiliano ya wazawa kwa mfano :
Gharama ya kujenga link moja mwaka...
Umeongea point sana mkuu maana bila kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni kwetu hapa lazima tutaangukia pua. South Africa ukitaka kubadili fedha za kigeni lazima uwe foreigner otherwise kwa mzawa au raia lazima mamlaka zihusike na sababu iwepo.
Hongera sana wewe ni great thinker.. Tanesco was moving forward ila chuki binafsi na siasa zimeamua kukataa wataalam.
Hili shirika lingekuwa independent lingekuwa mbali sana. I hate politics
Mjadala mzuri sana huu umetufumbua macho akina sisi . Niwapongezeni nyote Kwa elimu mnatupatia humu. Ila nawasihi punguzeni jazba na ujuaji ili tufaidie wenzenu kwani Sisi sote ni wamoja. Mbarikiwe sana wandugu. Mungu ibariki Tanzania
Piga mazoezi sana ndugu , achana na blah blah zingine. Kimbia sana , ogelea sana ,ruka kamba ,punguza misosi mizito usiku omba kabla ya kulala afu uone kama utakuwa hauamshwi na alarm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.