Nje ya maada , wajumbe hivi Hawa police tokea mwaka uanze wako Na kampeni ya kutafuta trust ya raia? Simu yangu nikifungua Tu Naona
1) police wanaimba kwaya sijui wapi huko
2)police anatoa msaada sijui Kwa ombaomba
3) police wanatoa misaada
4) mara wanacheza Mpira Na Raia
5) michano live...
1)Ni Gari unaenda kituo cha mafuta Kwa kuona aibu ,siyo Kwa hofu ya kuzimika ETI imeisha mafuta,Na hiyo hiyo Ni NCP 61,
2) NCP 61 km 800 huitaji kituo cha kulala, hapo una overdrive , Gari KIBAO unaenda Nazo sambamba
3) inachanganya fasta unapo-overtake madam service zako ziwe standard,ie...
Lissu ana sifa zote Za kuwa mtakatifu,
(1).Ni miongoni Mwa wanasiasa ambao sikuwahi Sikia wamejilimbikizia Mali
(II) Toka secondary hajawahi acha kuwa mstari WA Mbele kupigania Hali
(III) Bungeni Muda wote amekuwa muwazi Na mwenye Nia dhabiti Na wananchi
(IV) Alishatangaziwa Pesa ili auze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.