Recent content by hagez

  1. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

    Kuna wadau wako kny final touch za intergration na kuna benki imeprove kuweza intergration.So ni jambo la subira kidogo tu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    Hapo ndugu usiguse hata mia,nenda bank report kuwa kuna muamala huulewi umetokea wapi.Kama kuna mtu/institution ilikuwekea watacomfirm nao ila kama wamekosea wata reverse hiyo transaction.Ukiitumia cku ikibainika itakula kwako,watakutupia money laundring case afu iwe shida.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nimekuta chupi na sidiria mlangoni kwangu, mara mbili

    Weka CCTV Camera mlangoni mkuu lazima utamkamata anayefanya hako kamchezo.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hili gorofa limefikia hatua ya mwisho serikali ilikuwa wapi?

    With controlled demolition hilo jengo linashuka bila matata.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

    Shake well before use.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tangu nifanye naye mapenzi, ameniganda kama ruba

    Acha uzinifu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tulianza kama kumkomoa mume wake, eti sasa hivi ana mimba yangu

    Duh!Mi napita tu.
Back
Top Bottom