Recent content by hagai salehe

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona Tundu Lissu akitumikia adhabu ya kifungo jela

    Hata rugamarira pia alifungwaga ahahahaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

    Ligi EPL ikianza tutarudi huku tuchambue upya kwani tutajionea wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

    Hakuna shida kumbe hawasomi ni watu Na biashara zao endelea mbunge Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ngara, Kagera: Mkutano wa hadhara wa Rais Magufuli na Rais Nkurunziza wa Burundi

    C mchezo kwa ulinzi ule ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi: Mkuu wa Wilaya akataa kuzindua mashindano ya mpira kisa jezi kufanana na bendera ya CHADEMA

    Nchi ya viwanda mpira unatoka wapi ahahahaa ubaguzi huo Post sent using JamiiForums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ndege nyingine ya bombardier Q400 kuwasili wiki ijayo

    Bei iwe sawa Na fast jet ili kila mwananchi apande ndege afurahie fahari ya nchi yake Post sent using JamiiForums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba: Watu wanakamatwa kwa kufanya makosa

    Watu wanakamatwa wakishasota rumande wanapelekwa mahakamani hawana kosa mm naona wakishaachiwa nao wadai walipwe kupotezewa muda wao Na mateso ya sero Post sent using JamiiForums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Sihitaji mahusiano tena nataka nimkane na kumkataa mpenzi wangu nishachoka

    Mungu ndo kimbilio letu rudi kundini Post sent using JamiiForums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aripoti Polisi kutoa taarifa ya kutishiwa kuondolewa Buguruni

    Hapo langu jicho ngoja tuangalie kama ni filamu ya kihindi hata ector anakufaga Post sent using JamiiForums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini Tanzania kwa hili nipo tayari mkeshe mkinilaani ila nawatoleeni uvivu!

    Gwajima haogopi kitu kwani ana shida gani hataki chochote serikalini msema ukweli yule Post sent using JamiiForums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Polisi akatwa mkono katika ugomvi wa kugombea mwanamke

    Chezea akina tata ww c mchezo Post sent using JamiiForums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Wangewatoza faini watafute mashine za efd waweke waendelee Na biashara ukiwafungia itakuwaje sasa Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu jamani

    Ukijifanya mwerevu ndoa hakunaga kuwa mjinga tu yy awe mjanja mambo yataenda Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    Serikali ya viwanda inaendelea tusubiri tutaona mengi miaka hii Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  15. H

    JamiiForums Tanzania Machangudoa waundiwa vikundi vya ulinzi Moshi

    Mungu Onesha Shilingi Ilipo pambana Na Bali yako Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom