Recent content by hacena

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Ni watu sana. Kila kabila lina wajinga. Kabila moja hawawezi kuwa na akili sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Asilia

    Acha kujitekenya na kucheka. Hakuna chadema asilia. Slaa sio chadema tena. Bye bye CCM.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    Pitia ratiba ya tume. Acha kuropoka
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

    Tayari ameshapuuzwa na hakuna anaeyemjadili. Nyie ndio nnaotengeneza maandamano yenu fake mnamjadili kama vile nyie ni chadema
  5. H

    JamiiForums Tanzania Siamini ninachokiona sasa hivi ITV

    Mbona humalizia alipowauliza rais wenu nani?,wakajibu Lowassa kundi kubwa na Dogo magufuli
  6. H

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT ndio wapinzani wa kweli waliobakia, tunawategemea msituangushe, UKAWA wamenunuliwa

    ACT ni chadema B.kwa nijibu wa prof. Mapovu mkumbo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri wa Elimu na mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai ajiunga CHADEMA Leo

    Kura mbili sio haba
  8. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

    Kikwete na mkapa wote wanasoma. Ni lazima asome kwa vile hiyo ni Sera ya ukawa sio ajenda zake.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mvua ya baraka tumeipata. Hali ya hewa ni mzuri kabisa. Ni furaha iliyoje kupata Baraka hii ya mwenyezi Mungu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mvua ya baraka tumeipata. Hali ya hewani
  11. H

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Hutaki? Ndio hivyo sasa sauti imeshagoma sasa. Mgonjwa ameshajulikana.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa live channel ten

    Mgombea ubunge ilala huyo.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Jamaa nasikia sauti ilikata mbeya. Ameshajiangusha mwenyewe kabla ya kuna kutuangusha. Hatufai, tumkatae.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Long live President Lowassa.
Back
Top Bottom