Mgombea ubunge ilala huyo.Kuna mburushi kapiga mawani meusi meza kuu kachukua nafasi ya Mnyika, anayemfahamu tafadhali? Cdm imeuzwa dalili ndio hizi.
Sasa CDM ikiuzwa unawashwa nini we gamba?Kuna mburushi kapiga mawani meusi meza kuu kachukua nafasi ya Mnyika, anayemfahamu tafadhali? Cdm imeuzwa dalili ndio hizi.
Kuna mburushi kapiga mawani meusi meza kuu kachukua nafasi ya Mnyika, anayemfahamu tafadhali? Cdm imeuzwa dalili ndio hizi.
Kuna mburushi kapiga mawani meusi meza kuu kachukua nafasi ya Mnyika, anayemfahamu tafadhali? Cdm imeuzwa dalili ndio hizi.
Tuambieni basi kaongea nini Mh Rais mtarajiwa.....wengine tupo mbali na tv.
Kuna uwezekano mkubwa sana tarehe ya uzinduzi umeme uka katika nchi nzima.Wawe wanafanya Marudio ya Mikutano yao ,Maana Tanesco wanatukatiaga umeme.Kufanya namna hii inakuwa Vizuri