Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,635
Cc:Yohana Kilimba ,najifunza jinsi ya kutag na mie
nifah hawa vijana wanaopenda maisha mkubwa wakati hawajafanya kazi yeyote ni tatizo katika nchi hii. Siajabu huyu yumo kwenye kundi alilokuwa analisema Lowassa kuwa ajira kwa vijana ni bomu; naam mmoja wa bomu nu huyu kijana! Ati anajiita Chadema Asilia! Lini Chadema imegawanyika... wanataka kutuaminisha Dr.W.Slaa alipo jiC.C.M alisababisha mpasuko!!!Nimekupenda bure mkuu Nyunyu,heshima kwako.
"UKAWA HUU NI MFUMO-WETU AU"wote wenye fikra kama zako hamkujua maana ya mabadiliko watanzania tunayoyataka.mabadiliko yanayotakiwa hapa si ya watu bali ni ya mfumo.mfumo mbovu wa ccm ndo umezalisha richmond,eppa,escrow.hivyo hata aingie nani,katika mfumo mbovu wa ccm hakuna atakalo fanya.jitambue mambo unayoshabikia usipelekwe na hisia tumia fikra kijana.magufuli na lowasa wanamaana kama mifumo watakayotumia itakuwa ni imara
We unashabikia treni lipi spidi kali sana kulekea shimoni. Yaani unawahi kujizika mwenyewe. Sio mimi ninae gawa wanachama ila hayo ni maamuzi ya Chadema asilia wote na ipo hivyo. Maadam tumedharauliwa kwa kuletewa kundi la mafisadi na Dr Slaa kuonekana hana maana tena kwa nguvu zake zote alizozitoa na hata kupata kilema kwa ajili ya chama chetu hatuna budi na sisi kuonyesha msimamo wetu.
Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu.
Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.
"UKAWA HUU NI MFUMO-WETU AU"
au mfumo wenu ni ule wa kuwakata walioshinda kwenye kura za maoni na kuwaweka mnaowataka
au mfumo wenu ni kuwauzia chama wenye hela na kukitawala
au mfumo wenu ni kuwafukuza waanzilishi wa chama na kuwapokea Makapi ya CCM
au mfumo wenu ni ule wa sisi kwa sisi wa kugombania majimbo
au mfumo wenu ni ule wa kuwasafisha watu ambao mlishakwisha watuhumu kuwa ni Mafisadi waliokubuhu yaani wako kwenye list ya mafisadi wa taifa leo hii kisa wapo upande wenu mnawasafisha.
au mfumo wenu ni ule wakukurupuka leo hii unasema hivi kwa mabaya kisa haukonacho lkn kesho ukikipata unakisifia, hivi nyie vigeugeu ndo mnataka mpewe nchi? yaani ukawa hamueleweki mmekuwa km mvua za dar" !!!
JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa KUMPA KURA ZETU ZOOTE DR JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa chadema wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr Slaa
Kaanzisheni chama.chenu muone kama mtapata watu. Naona uko Lumumba na umepewa jukumu la kujifanya cdm unayemtetea Slaa, kwa bahati mbaya hela yenu Slaa kala na.bado hamkupata matokeo chanya. Jiandaeni tu kuingiza nchi machafukoni kwa kulazimisha kubaki madarakani.[/QUOTE
Wanaoamua mtu kwenda ikulu sio chama ni wananchi. Usidanganywe. Sasa wewe unajua wananchi wangapi ambao watatupigia kura? Unajua? Usiwe kama huwezi kufikiri.
Angalia tafiti mbili tu zilizotoka majuzi zimetuweka kwenye position gani. Au wewe ndio wale wanaosema wamenunuliwa. ?? Kwa mtaji huu hatuwezi endelea kamwe
Kaanzisheni chama.chenu muone kama mtapata watu. Naona uko Lumumba na umepewa jukumu la kujifanya cdm unayemtetea Slaa, kwa bahati mbaya hela yenu Slaa kala na.bado hamkupata matokeo chanya. Jiandaeni tu kuingiza nchi machafukoni kwa kulazimisha kubaki madarakani.
kweli mama yako atakuwa anasikitika kwann alikuzaa ww!
Acha kujitekenya na kucheka. Hakuna chadema asilia. Slaa sio chadema tena. Bye bye CCM.JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr. Slaa

Inawezekana mimi nimeingia huko kabla yako. Nadhani wewe ndio kijana wa juzi. Sisi ndio tuna uchungu tumeharibiwa chama chetu hivi hivi kwa usanii wa dili. Tumeshatoa mapesa yetu chungu mzima ya michango kwa ajili ya chama, leo hii tumesalitiwa, kwelii? ?? Hatuwezi kaa kimya. Tunajua tulipo toka na hatuwezi katishwa hivihivi. Ngoja uchaguzi upite uone tutafanya niniHivi wewe kama nani chadema? We umeijua juzi chadema tulioanzisha chadema tumekaa kimya unabwabwaja tuu hapa. Kwanza wewe ni pandikizi
JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr. Slaa
JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa, KUMPA KURA ZETU ZOTE DR. JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa CHADEMA wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr. Slaa
Lazima akili yako inahitilafu!JF,
Tumekuwa tunadanganywa na wagombea wetu hasa Lowassa na Sumaye eti kwa zaidi ya miaka 50 CCM haijafanya kitu. Tumekuwa na maswali meeengi ya kujiuliza.
1). Hivi hata upanuaji wa matumizi ya mitandao kama hivi tunavyowasiliana si ni kazi yaCCM. Mbona hatuwapongezi.
2). Hivi Lowasa ma Sumaye si nao walikuwa mawaziri wakuu kwa jumla ya miaka 13. Ina maana na wao hawakufanya chochote ?? Ilikuwa total workdone zero ?
Na wanaendelea kula kodi za wananchi bila aibu mpaka sasa.!!
Ni lazima tutafakari sana nchi yetu hii.
We unashabikia treni lipi spidi kali sana kulekea shimoni. Yaani unawahi kujizika mwenyewe.
Sio mimi ninae gawa wanachama ila hayo ni maamuzi ya Chadema asilia wote na ipo hivyo. Maadam tumedharauliwa kwa kuletewa kundi la mafisadi na Dr Slaa kuonekana hana maana tena kwa nguvu zake zote alizozitoa na hata kupata kilema kwa ajili ya chama chetu hatuna budi na sisi kuonyesha msimamo wetu.
Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu. Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.