Recent content by habata

  1. H

    JamiiForums Tanzania Idadi ya majimbo yanayoenda UKAWA 100% mpaka sasa

    Hata Butiama Musoma vijijini Tarime vijijini umedanganya mdau hakuna ushindi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

    Mbona hao watu ni wachache sana au hujui kupiga picha. Sasa amenukisha nn
  3. H

    JamiiForums Tanzania North Korea shells South Korean military unit forcing Seoul to return fire

    US on job again
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha nani awanie Jimbo la Kiteto chatenguliwa

    Sawa tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mikakati mizito ya Ushindi ya Friends Of Lowassa yaanza kuvuja

    What we want is changes. Lowasa tosha. Kura yangu ntampa. Kwann wamkate wangeacha kura zimkate.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa apigwa shinikizo kali

    Apewe nchi afurukunyue Hawa kunguni
  7. H

    JamiiForums Tanzania Lissu na lowassa wakiteta!

    Jamani naomba namba ya Lowassa jamaa akihama na akagombea kura yangu anayo kwa ujasiri wake
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa amechukua form za Ubunge Monduli?

    Asichukue yeye achukue Urais maana hatuna jinsi kama wameleta jeuri na hawataki kusikia achukue
  9. H

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    No matter what. What we need is change
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kahama: Watendaji wa Lembeli, wanadi mkutano wa Tundu Lissu

    No comments
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni CCM: Membe kupambana na Nape jimbo la Mtama

    Dah membe aliashaaga
  12. H

    JamiiForums Tanzania Audio ya tangazo la Ndorobo na Mangi

    Dah aisee jamaa hapo kabuni sana maana katika uhalisia machinga wengi ndo bei zao kitu cha elfu 2000 anaanzia 38000 halafu anasema nipe yoyote ulio nayo maana sijala mala sijauza dah tz bana
  13. H

    JamiiForums Tanzania US Ambassador to the UN, Samantha Power, responsible for the crisis we see in Burundi

    Heeh Rwanda sasa inaanza kuwa tatizo
  14. H

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Uwezo wa watanzania kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana

    Kimsingi uwezo Wa mtu wa kufikiri unategemea pia mazingira mfano ni kazi kufikiria kwenda mwezini wakati huna chakula tu na huwezi fikiri matatizo ya jamii wakati ww pia shida. Umasikini njaa na maradhi vimepelekea sisi kuwa waongo tusiojiamini wategemezi na waonevu na hivo wengi wamechagua...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu rais akitoka CCM nitajua Mungu hayupo

    Huu hii kal
Back
Top Bottom