hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Kama kweli mungu yupo aonekane kwa hili na atuonee huruma watanzania tumeteseka vya kutosha nimejiandikisha na nimewahamasisha watu wengi wajiandikishe nikijua hii ndio njia sahihi ya kumtoa adui mkubwa CCM na kama itashindikana mwaka huu kuiondoa CCM madarakani siji kupiga kura milele hadi nakufa.