Make it clear hivi hujui kuwa Lissu ni Mwanasheria tena Nguli? Kakwambia nani kuwa unaweza kuargue na mwanasheria as if unargue na Ngumbaru?Lissu hawezi kuwa 'Yes Man' kwa asili ya kazi yake.Lakini pia kwa ufedhuri wa watawala Lissu is a right person to deal with them.
Nina imaani siku moja Tanganyika na Watanganyika watakua free kupanga na kuchagua wamtakaye kwa uhuru bila shuruti kutoka kwa magenge ya wahuni na wapumbavu!
CHADEMA ni movement.Movement huwa haifi maana iko mioyoni mwa watu.Kwa hiyo hata CHADEMA ikifutwa unadhani ndo utakuwa mwisho wa kudai Katiba?Tume bora ya Uchaguzi? La hasha!CHADEMA kinafanya siasa za UKOMBOZI ktk siasa hizi huwa hakuna hongo,kuteka,mauaji bali kila hatua hufikiwa kwa kutegemea...
Waungwana poleni na harakati za kuutafuta mkate wa kila leo. Naomba mwenye sheria ya utumishi wa umma inayofanya kazi kwa sasa anisaidie kuipata.. Aksante
Waungwana Nina photo copy machine tajwa hapo juu,tangu nimekuwa nayo nashindwa kutumia printer yake maana Sina drivers zake.Cd nayo iligoma kuwa installed kwenye pc.nimejaribu kudownload drivers kupitia chrome pia mafanikio hakuna.mwenye maarifa na Jambo hili naomba msaada wake
Wakuu nahitaji mteja wa mbao.naahidi kuwa Bei itakuwa rafiki na inayoendana na Hali kubwa zaidi mteja ana Uhuru wa kununua mbao kwa mjibu wa vipimo anavyotaka yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.