Recent content by h2m

  1. h2m

    Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

    Wazee wa kuishi maisha ya watu....#fakepipoWillNeverSeeTheHeaven Sent from my SM-A300H using JamiiForums mobile app
  2. h2m

    Waislamu wamtuhumu Mufti Abubakari Zuberi kujimilikisha shule kumi za BAKWATA

    Acha kuropoka ubungo mualimu ipo ipc sio bakwata...[emoji16]
  3. h2m

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    My dream car.... may Allah grant me... #amina
  4. h2m

    Serikali yaishukia bodi ya TTCL, yaitaka kupambana kiushindani

    Ttcl wanatakiwa waangalie kampuni zingine zinatoaje huduma za mawasiliano... Haiwezekani mmedhamiria kufufua kampuni alaf mnakuwa mnatoa huduma expensive na maeneo mengine havipatikan... Inabid wakubali kujila kwa muda kama kampuni ya tigo walianzia kwa wanafunzi na kutoa offer nyingi sana ikawa...
  5. h2m

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Hahahah.... Sent from my SM-A300H using JamiiForums mobile app
  6. h2m

    Kwa kauli hii ya Gwajima kuhusu walokole nini maana yake?

    Kama anazonyaraka kwann asipeleke?
  7. h2m

    Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    Dhulma mbaya sana na huwa haidumu (s.a.w)
  8. h2m

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hata mimi niliweka airtel unlimited ya mwezi mara baada ya siku kama tano nashangaa wananitumia mesej hii " Your service may be degraded as your usage is abnormal. Internet sharing/tethering from your device is not allowed. Huduma yako ya interneti itaathirika kwa sababu matumizi yako sio ya...
  9. h2m

    Hivi hawa tigo kiboko yao niajee

    Ila mimi mpaka saa hii sijatumiwa na nimejiunga tangu saa moja asubuh
  10. h2m

    Hivi hawa tigo kiboko yao niajee

    Maana nashangaa kila ninaekutana nae analalamika kwamba kanunua kifurushi ka-reply SMS "Kiboko Uao" ila code ambazo ndio ticket hajapatiwa. Hivi wanatuzingua au inakuwaje? Naombeni kujua kutoka kwenu wadau. Kama nyinyi mshapata hizo tiketi zenu au laa.
  11. h2m

    Wema amfungulia mashitaka Diamond

    TAGS NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema', amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond', kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10. Kwa mujibu wa mtandao...
  12. h2m

    Watuhumiwa wawili wa Escrow wafikishwa mahakamani

    Kama hutuzingui basi yale maazimio ya kikaocha cc yashaanza kufanyiwa kazi
  13. h2m

    China has just banned the burqa in its biggest Muslim city

    Sio waislam wajitathimin. Anza ww kujitathmin coz kwann hii dini ichukiwe na watawala wengi. Utapata jibu ni kwamba watawala hata wao no binadamu. Na kawaida ya binadamu hupenda mambo maovu ili hali uislam umeletwa na mungu kwa mara nyingine kupitia muhammad saw ili kudumisha tabia njema...
Back
Top Bottom