Recent content by H K dot com

  1. H

    Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

    lowasaaaaaaaaa...kama hujui nguvu ya mafuriko kaulize Wanajangwani..
  2. H

    Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    hivi ule unafiki wake na mengi uliishaje huyo mganga njaa...
  3. H

    Makonda: Wanaodai kuna tatizo la ajira, wana upungufu wa kufikiri!

    Kisasi ni kazi ya Mungu tuungeni mkono..
  4. H

    Kwanini "clip" ya Nyerere kumkataa Lowasaa haijawahi tolewa hadharani?

    nyerere alijua lowassa atawapa watu elimu.C,unajua nyerere aliogopa kuongoza watu waliosoma???Lowassa mbele kwa mbele wtt wetu wanakuombea....
  5. H

    Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

    jiulize mwenyewe nrb kuna wtz wangapi tutakaokuja kuongeza nguvu ya mafuriko
  6. H

    Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

    kama humpendi ni ww mwenyewe... niko hapa nairobi moi Avenual kila kona nasikia wakisema kule tz next prezidaa ni Lowassaaaa
  7. H

    Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

    lowassa alisema ana plan A,hana plani 'B,ful kujiamini..
  8. H

    Kwanini wana CCM wanamuogopa Lowassa?

    Thibitisha wizi wake usiongelee maneno ya vijiweni na uache Nape ww.
  9. H

    Makonda: Wanaodai kuna tatizo la ajira, wana upungufu wa kufikiri!

    Ile dhambi ya kumpiga Warioba haitamuacha Makonda itamuandama weeee km jinamiz fulani vile.
  10. H

    Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

    Mpaka sasa hv lowasa ni saaaafi ndo'maana wananchi wananchi wanamkubali.Ee Mungu msaidie lowassa akipita awakumbuke nduguze kule Meru na wtz wote ameeeen.
  11. H

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wasiompeda lowassa wakaungane na Nape&Makonda...Mungu umtangulie Lowassaaaaaaaa
  12. H

    Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

    Yeye WASIRA akipewa urais c ataenda kulala Ikulu .?
  13. H

    Mahakama ya ICC yaagiza Afrika Kusini imkamate na kumkabidhi Bashir

    Kwanini ICC isitume askari wake pale Dafur wamkamate akiwa kwake??wanataka Afrika tugombane wenyewe....
  14. H

    Kwanini wana CCM wanamuogopa Lowassa?

    Lowassa anakubalika kwa utendaji wake :wale wanaosinzia ofisini wanajiuliza itakuwaje akichaguliwa kama WASIRA..
  15. H

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wasiompenda Lowassa wakale limao..(usiempenda kaja)
Back
Top Bottom